Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
silipwi
Kwahiyo sisi tunaosevu 2m unataka hiyo 1.3m tukaitoe sadaka>Wakuu katika hali ya kujikwamua kimaisha kwa sisi waajiriwa saving ni muhimu sana.
Kwa sisi ambao hatuna posho yeyote ni mshahara tu ni changamoto kwa kweli, sasa mimi katika dodoso zangu nimeonelea ili niweze japo kufikia malengo japo kwa 40% ninahitaji kusave 700k kila mwezi kwa muda wa miezi 100.
Kwa maana hiyo nimeamua kila mwezi niwe natupia 700k pale utt kama save yangu kwa muda wa miezi 100.
Haya ni malengo ya muda mrefu sana, kwa maana hiyo kama kweli nitafanikiwa kupambana kwa miezi yote hiyo na kama Mwenyezi Mungu atanijalia afya njema na uhai, najiona nikisogea sehemu kwa umri wa 40+.
Wadau karibuni kwa mawazo yenu.
Save kwa kuwekeza kwenye kitu kama Saccoss inayoeleweka...unaweza ichezesha kwa haraka kama kuna opportunity imejitokeza na imenyookaWakuu katika hali ya kujikwamua kimaisha kwa sisi waajiriwa saving ni muhimu sana.