Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 4,095
- 13,016
Umeoa au uko kwenye mahusiano?Wakuu katika hali ya kujikwamua kimaisha kwa sisi waajiriwa saving ni muhimu sana.
Kwa sisi ambao hatuna posho yeyote ni mshahara tu ni changamoto kwa kweli, sasa mimi katika dodoso zangu nimeonelea ili niweze japo kufikia malengo japo kwa 40% ninahitaji kusave 700k kila mwezi kwa muda wa miezi 100.
Kwa maana hiyo nimeamua kila mwezi niwe natupia 700k pale utt kama save yangu kwa muda wa miezi 100.
Haya ni malengo ya muda mrefu sana, kwa maana hiyo kama kweli nitafanikiwa kupambana kwa miezi yote hiyo na kama Mwenyezi Mungu atanijalia afya njema na uhai, najiona nikisogea sehemu kwa umri wa 40+.
Wadau karibuni kwa mawazo yenu.
Nimeoa mkuu nina watoto watatu.Umeoa au uko kwenye mahusiano?
Okay, saving ya 700k per month, umeshafanya forecasting kwa namna gani itaathiri familia yako?Nimeoa mkuu nina watoto watatu.
Mkuu, ndio maana nimesema hapo juu nimefanya dodoso, nimejiridhisha hii 700k haita athiri chochote family. Kuhusu mshahara hii ni siri yangu mkuu.Okay, saving ya 700k per month, umeshafanya forecasting kwa namna gani itaathiri familia yako?
Na hiyo 700k ni asilimia ngapi ya kipato chako?
Kuserv 700k wafanyakazi walio wengi hawana udole huo.Wakuu katika hali ya kujikwamua kimaisha kwa sisi waajiriwa saving ni muhimu sana.