Kwenye mshahara wako ukisave kila mwezi 700k unabakiwa na tsh ngapi?

Ila Maisha.. cha msingi ni kuwa mtu mwenye shukran kwa Mwenyezi Mungu..

Kuna malengo natamani kufika.. ila kuna mtu anatamani kufikia nilipo sasa au hata robo yake tu..

Turudi ktk Mada.

700k ni mshahara wa TGS D hiyo hata akikatwa kila kitu hawezi kubaki na 700k ktk account. Sasa mtu wa hivi saving yake labda 100k mpk 150k.. akiweka 700k ina maana hapo mwezi mzima kaenda kazini bure... na madeni juu.
 
Kwahiyo sisi tunaosevu 2m unataka hiyo 1.3m tukaitoe sadaka>
 
Save kwa kuwekeza kwenye kitu kama Saccoss inayoeleweka...unaweza ichezesha kwa haraka kama kuna opportunity imejitokeza na imenyooka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…