Kwenye Msiba Dume Zima na Hereni...!!

wanaumwe wa mikoani wana wivu sana, saa hizi wapo kwenye palizi ya ufuta huko wanachonga sana
Mkuu mimi nimekuja mkoani toka mwaka 2017 kusimamia mashamba yangu... Wanaume wa mkoani sio wote tunawivu mkuu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkuu mimi nimekuja mkoani toka mwaka 2017 kusimamia mashamba yangu... Wanaume wa mkoani sio wote tunawivu mkuu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
sawa bosi wangu, mmoja kati ya 99.
mnawasema wanaume wa Dar ila madem wa mikoani wakija dar kwenye interview ukimpeleka mliman city, coco beach kwenye mihogo, ukarudisha akemi revolving restaurant anavua pichu mwenyewe, mwenyewe wala huombimgemu wewe kama vile mbwa kwa chatu
 
Sasa wewe huoni mizunguko yote hiyo utakuwa umeshatoboka sio chini ya laki 1 mkuu? Kwa usawa huu wa Jiwe laki kwanini asiingie king na wewe baadae unaugulia maumivu kuikumbuka laki yako?
 
Ila mademu wa dar wakija huku mkoa nao ni tabu tupu. Mara wanajifanya hawawezi kula muwa mpaka ummenyee na kumkatiakatia. Mara wanaogopa hata kuku. Ukimchinja kuku na kumwambia ampike anajifanya hajui kunyonyoa. Tunakwenda nao hivyo hivyo. Mwisho wa siku tunawapa zawadi za mikungu ya ndizi, kuku na mayai halafu tunawagonga kabla ya kurudi mjini. Pamoja na mashauzi yote πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
"achana nae,mtoto sio liziki uyu "alisikika mmhombolezaji mmoja katika msiba huo.
 

Uzi tumeufunga hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…