Jackal
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 9,971
- 13,608
Mkuu mimi nimekuja mkoani toka mwaka 2017 kusimamia mashamba yangu... Wanaume wa mkoani sio wote tunawivu mkuu 😂😂😂wanaumwe wa mikoani wana wivu sana, saa hizi wapo kwenye palizi ya ufuta huko wanachonga sana