Kwenye Msiba Dume Zima na Hereni...!!

Kwenye Msiba Dume Zima na Hereni...!!

wanaumwe wa mikoani wana wivu sana, saa hizi wapo kwenye palizi ya ufuta huko wanachonga sana
Mkuu mimi nimekuja mkoani toka mwaka 2017 kusimamia mashamba yangu... Wanaume wa mkoani sio wote tunawivu mkuu 😂😂😂
 
Mkuu mimi nimekuja mkoani toka mwaka 2017 kusimamia mashamba yangu... Wanaume wa mkoani sio wote tunawivu mkuu 😂😂😂
sawa bosi wangu, mmoja kati ya 99.
mnawasema wanaume wa Dar ila madem wa mikoani wakija dar kwenye interview ukimpeleka mliman city, coco beach kwenye mihogo, ukarudisha akemi revolving restaurant anavua pichu mwenyewe, mwenyewe wala huombimgemu wewe kama vile mbwa kwa chatu
 
Sasa wewe huoni mizunguko yote hiyo utakuwa umeshatoboka sio chini ya laki 1 mkuu? Kwa usawa huu wa Jiwe laki kwanini asiingie king na wewe baadae unaugulia maumivu kuikumbuka laki yako?
 
sawa bosi wangu, mmoja kati ya 99.
mnawasema wanaume wa Dar ila madem wa mikoani wakija dar kwenye interview ukimpeleka mliman city, coco beach kwenye mihogo, ukarudisha akemi revolving restaurant anavua pichu mwenyewe, mwenyewe wala huombimgemu wewe kama vile mbwa kwa chatu
Ila mademu wa dar wakija huku mkoa nao ni tabu tupu. Mara wanajifanya hawawezi kula muwa mpaka ummenyee na kumkatiakatia. Mara wanaogopa hata kuku. Ukimchinja kuku na kumwambia ampike anajifanya hajui kunyonyoa. Tunakwenda nao hivyo hivyo. Mwisho wa siku tunawapa zawadi za mikungu ya ndizi, kuku na mayai halafu tunawagonga kabla ya kurudi mjini. Pamoja na mashauzi yote 😂😂😂
 
Mkuu ndo madhara ya kukaa sana vijijini ,hayo no maisha binafsi hata wewe Kuna tabia unazo wengine hatuzitaki,hivyo mjini tunaheshimiana Kama hupendi kiduku usinyoe ww mkeo na wanao,wengine ongea nao kibiashara ,mjini kutafuta hela tu,Kama we shoga na unahela ya kununua bidhaa zangu maisha yako hayanihusu anaenihusu ni wanangu tu

Uzi tumeufunga hapa
 
Back
Top Bottom