Kwenye msitu wangu kuna black mamba/ koboko natafuta njia za kumwangamiza bila kuleta madhara kwenye jamii

siyokweli na huenda umesimuliwa tu. Hadi sasa hao ndo wengi huwa tunaona magamba yao yakutosha tu. mimi najua kiboko chake ni bundi na hawa nguchiro. pamoja na hao kuwepo lakini nyoka bado anaokana mara kwa mara
Naona unataka kuleta ubishi usiokuwa na maana. Lakini pia haujajua ni kwanini huyu alipewa jina la King Cobra.
 
Unataka atatue tatizo kwa kuongeza ukubwa wa tatizo 🀣🀣🀣..

Hizi akili ndo walizifanya wazungu kwenye Scheme za groundnuts Tanzania..
Ili kuondoa Panya kwenye Karanga wakaIntroduce Nyoka wa kila aina..
Baadaye tatizo likawa kubwa
 
wewe utakua tabora vijijini uko igombe igombe flani back to the point fuga bundi koboko ndio chakula akipendacho
na ukifuga bundi jiandae kuchomwa moto na wanakijiji kwa tuhuma za uchawi
chagua kuuawa na koboko au wananzengo
 
Peleka paka au nyani ndani ya huo msitu.
Na hayuko peke yake,lazima kuna mwenzie ama wenzie.
 
wewe utakua tabora vijijini uko igombe igombe flani back to the point fuga bundi koboko ndio chakula akipendacho
na ukifuga bundi jiandae kuchomwa moto na wanakijiji kwa tuhuma za uchawi
chagua kuuawa na koboko au wananzengo
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ eneweyi mkuu bundi ndo chakula chake lakini kwa sasa wamepungua kwa kiasi kikubwa sana enzi hizo tukiwa wadogo bundi walikuwa wengi sana na tuliwachukia sana kwa mlio wao kumbe hatukujua
 
wewe utakua tabora vijijini uko igombe igombe flani back to the point fuga bundi koboko ndio chakula akipendacho
na ukifuga bundi jiandae kuchomwa moto na wanakijiji kwa tuhuma za uchawi
chagua kuuawa na koboko au wananzengo
Ndiyo nimesikia bundi anamkamata na kwenda nae juu sana na kumuachia na kumfuata tena hadi anakufa?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…