Tatizo unatunga habari mpaka unajichanganya mwenyewe katika maelezo.nacho kataa nikuwa cobra wapo humo na ushahidi ni hayo magamba yao pale wanapojivua {sijui kitaalamu} kitendo cha yeye kutoka gamba la juu
wenyeji wanasema wapo wawili na wote wakubwa. wapo hawa ngedere kwa wingi
mkuu kama hatuelewani basi tuachane. ulipo sema kuwa cobra ndo huwa ana mla black mamba nikakujibu sio kweli kwa sababu hata hao wamo humo pori na magamba huwa tunayaona wao ni weusi na wanatabia ku mwaga mate pindi mnapokutana nae. hao kwetu si tishio huwa wanauliwa mara nyingi tuTatizo unatunga habari mpaka unajichanganya mwenyewe katika maelezo.
Wewe umesema kuna koboko, mara sasa hivi unaongeza tena na Cobra. Nafikiri umeamua kuja tu kujiandikia tu ili kupima upepo kuhusu huyo koboko wako.
hapo hadi maliasili wenyewe sasaAchana na ngedere,kitu nyani.
Nafikiri baadhi ya story za Koboko hapa JF zimekuchukua kweli kweli kiasi ambacho kimekufanya uamini kila unachoambiwa kuhusu Koboko bila kufanya utafiti ili ujue mtemi wake ni nani.mkuu kama hatuelewani basi tuachane. ulipo sema kuwa cobra ndo huwa ana mla black mamba nikakujibu sio kweli kwa sababu hata hao wamo humo pori na magamba huwa tunayaona wao ni weusi na wanatabia ku mwaga mate pindi mnapokutana nae. hao kwetu si tishio huwa wanauliwa mara nyingi tu
wakwere si watu wa pwani?Tafuta wazee wa Kikwere hao ni kiboko ya Koboko.
hii nitaifanya mkuuSimple tip
Chemsha mayai yaive vizuri kaweke eneo wapopatikana akimeza basi utakuwa unamwita marehemu koboko "logic nyoka hawezi tofautisha yai bichi na lilioiva hivyo atalimeza na mfumo wao wa mmeng'enyo wa chakula haumeng'enyi vitu vigumu hvyo atakufa kwa constipation"case closed
Kuogepeshana huku sasaHuyo nyoka ni hatari sana mkuu, ana upep mkubwa, kuwa makini usikute ashaona hata huu uzi
Hapo anakusubiri urudi msituni, umueleze comments zilikuwaje?
pole sana mkuuInanikumbusha nilinunuaga shamba tabora nikaanza project ya kufuga kuku. Siku moja napigiwa simu na madogo kuwa kuku wote wanaolalia mayai wamegongwa na nyoka wamekufa. Nikaenda nikakuta hadi wamebadilika rangi, walikua kuku kama 15 hivi wanaolalia, wengine walikua wanalala juu kwenye mbao wakasalimika. Nilikuaga sijui hatari yoyote ya huyo nyoka japo madogo walinambia ni koboko maana alikunywa na baadhi ya mayai tukakuta maganda tu.
Kipindi cha sensa tulipima tukapata heka nane mstu pekeeUnaposema huo msitu ni mlimani basi inawezekana ni pori,sasa una uhakika gani mkuu kwamba hao nyoka wapo wawili tu? Kwani hawazaliani? Mbona ni kama maeneo ambayo siyo salama kwa mishemishe za binadaamu,utawahamishaje na msitu ukabaki,maana ingekuwa kuwamaliza ni kuchoma tu msitu
Inauzwa wapi?Mkuu umetoboa una bahati, mkamate akiwa mzima mkamue sumu yake, inauzwa bei ghari sana....
siyokweli na huenda umesimuliwa tu. Hadi sasa hao ndo wengi huwa tunaona magamba yao yakutosha tu. mimi najua kiboko chake ni bundi na hawa nguchiro. pamoja na hao kuwepo lakini nyoka bado anaokana mara kwa mara