Kwenye nchi ya kusadikika mtamlaumu Malikia bure

Hamissi Hamza Jr

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2020
Posts
561
Reaction score
1,149
Africa na mashariki ya kati kila Hekalu Lina Big Boys Watoa Order Nini kifanyike na Nini kisifanyike kwenye Hekalu",

kwenye Nchi Ya kusadikika Wananchi mtamlaumu Malkia Bure Big Boys ndio Watoa Order Na Kila mmoja wenu Ni Shahidi wa mkaidi wa order alie kwenye Hekalu Nini kinampata".
 
Hakika,Kikwete na Nchemba wanampotosha sana Mama Samiah.
 
Ikiwa analazimishwa kwanini asijiuzulu? Hawezi kukwepa lawama hata kidogo

Yeye ndiye mtuhumiwa namba 1
 
Ndio maana mi nita tick jina lililopitishwa au litakalopitishwa na hao big boys hapo October!
 
Africa na mashariki ya kati kila Hekalu Lina Big Boys Watoa Order Nini kifanyike na Nini kisifanyike kwenye Hekalu",

kwenye Nchi Ya kusadikika Wananchi mtamlaumu Malkia Bure Big Boys ndio Watoa Order Na Kila mmoja wenu Ni Shahidi wa mkaidi wa order alie kwenye Hekalu Nini kinampata".
Inasikitisha..
 
Rais ndiye aliyechaguliwa na yeye ndiye kala kiapo na kama kuna lawama yeye ndiye wa kulaumiwa.

Kwa sababu hata anapopewa ushauri, halazimiki kuukubali.

Akiukubali unakuwa wake.

Hao big boys kama wapo kweli, watu hawajawachagua, wala hawajala kiapo cha urais kwa sasa, wala hawafanyi mambo yao wazi. Wananchi hawana nafasi ya kuwalaumu.
 
Back
Top Bottom