Hamissi Hamza Jr
JF-Expert Member
- Apr 16, 2020
- 561
- 1,149
Hakika,Kikwete na Nchemba wanampotosha sana Mama Samiah.Africa na mashariki ya kati kila Hekalu Lina Big Boys Watoa Order Nini kifanyike na Nini kisifanyike kwenye Hekalu",
kwenye Nchi Ya kusadikika Wananchi mtamlaumu Malkia Bure Big Boys ndio Watoa Order Na Kila mmoja wenu Ni Shahidi wa mkaidi wa order alie kwenye Hekalu Nini kinampata".
Mkuu mbona maelekezo yalitoka wa kumpitisha na Fomu ilikua Ni yake TU(moja),Na Big Boy mmoja wapo Alikua anamsaidia kumnadi.Ndio maana mi nita tick jina lililopitishwa au litakalopitishwa na hao big boys hapo October!
Mkuu Hata yeye Hakutarajia ipo siku atakua Presidaa,Hivyo kuiachia Nafasi sio rahisi japo kiti Ni Cha Moto Sana kwake.Ikiwa analazimishwa kwanini asijiuzulu? Hawezi kukwepa lawama hata kidogo
Yeye ndiye mtuhumiwa namba 1
Naam HakikaHakika,Kikwete na Nchemba wanampotosha sana Mama Samiah.
Hawa ndio big boy? Mh haya napitaHakika,Kikwete na Nchemba wanampotosha sana Mama Samiah.
Kama imebuma hivi!we hujaona!!?Mkuu mbona maelekezo yalitoka wa kumpitisha na Fomu ilikua Ni yake TU(moja),Na Big Boy mmoja wapo Alikua anamsaidia kumnadi.
Ni kweli kwasababu level ya uelewe ya mtanzania wa zamani na Wa Sasa si sawa,Siku Baada ya siku uelewa na level ya kupambanua Mambo unazidi kuongezekaKama imebuma hivi!we hujaona!!?
Ni miongoni mwao na Wengine sio wanasiasa moja kwa moja mmoja wapo Ni Yule mmliki wa mtandao fulani wa Simu uliobadili jinaHawa ndio big boy? Mh haya napita
Inasikitisha..Africa na mashariki ya kati kila Hekalu Lina Big Boys Watoa Order Nini kifanyike na Nini kisifanyike kwenye Hekalu",
kwenye Nchi Ya kusadikika Wananchi mtamlaumu Malkia Bure Big Boys ndio Watoa Order Na Kila mmoja wenu Ni Shahidi wa mkaidi wa order alie kwenye Hekalu Nini kinampata".
Naam Hakika Nchi fulani zimekuwa za kikundi Cha watu fulani waliojimilikishaInasikitisha..
Hao Ni miongoni TU kati,Wengine Ni JM,Na Mwingine Ni yule mmiliki wa mtandao fulani wa Simu uliobadili jina lakeHawa ndio big boy? Mh haya napita
Kuwatoa hekarun tu hivihivi won't work, lazima baadae wataibuka tena.. Solution ni kuwafyeka from the roots..Naam Hakika Nchi fulani zimekuwa za kikundi Cha watu fulani waliojimilikisha
Rais ndiye aliyechaguliwa na yeye ndiye kala kiapo na kama kuna lawama yeye ndiye wa kulaumiwa.Africa na mashariki ya kati kila Hekalu Lina Big Boys Watoa Order Nini kifanyike na Nini kisifanyike kwenye Hekalu",
kwenye Nchi Ya kusadikika Wananchi mtamlaumu Malkia Bure Big Boys ndio Watoa Order Na Kila mmoja wenu Ni Shahidi wa mkaidi wa order alie kwenye Hekalu Nini kinampata".