ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Nielimisheni hii kitu sote tunajua tunaishi layer ya trotosphere 0-20 km na ndo kwenye hewa nzuri ya oxygen. Ndege za abiria zinakwenda stratosphere sasa ndege inatumia mfumo gani mpaka mnavuta hewa kawaida kama mpo chini huku.
Je kuna mitungi ya oxygen inayozalisha na kuwasambazia?
Huu mwaka haupiti sijapanda ndege.
Je kuna mitungi ya oxygen inayozalisha na kuwasambazia?
Huu mwaka haupiti sijapanda ndege.