Kwenye ndoa watu wanaviziana

Waviziaji wengi ni wanawake.Halina ubishi.Wanafanya ndoa ni mradi wa kujinufaisha tu.
 
Dunia ni uwanja wa mateso kila mmoja atachagua wapi atesekee
 
Swadakta!
 
Haya mambo yapo kwa wanawake zaidi.
 
Ila mke akawa anataka kuandika jina lake na mwanaume nae anataka jina lake liandikwe. It was real sad kwa sababu wote walikua wanaviziana. WALIKUJA KUACHANA.

Ki uhalisia hapo ilitakiwa iweje????

Haya mambo mkiwa wote hizo mali na bla bla wala sio ishu.....ishu inakujaga pale mmoja akitangulia tena especially mwanaume. Na una watoto.....kiukweli hili hata tukijifanya hatuongelei ila huwa linaclick kichwani.

Ndugu wanakujaga kudai hadi miswaki. Baba angu alitangulia mapicha picha niliyaona kwa mama angu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…