Kwenye ndoa watu wanaviziana

Una kaujinga fulani

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hoja ya kuandika jina la Nani kwa Mali za wanandoa Haina mashiko!

Jina lolote liandikwe Ila Mali inabaki kuwa ya wote as long as imepatikana ndani ya ndoa
Na hata ikitokea kuachana mgao utapigwa bila kujali Mali ina jina la mume au mke

Labda iandikwe jina la mtoto au individual yoyote nje ya ndoa, hio ni kesi tofauti

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Wewe Masai Ndito, wacha hayo mambo, ndani ya boma ya ng'ombe, ng'ombe ni wa baba na maziwa ya ng'ombe ni ya mama. Ile upendo ilienda na muzee SOKOINE, sasa wewe tafuta pesa mingi, amani itakuwa na wewe. Hata huko kanisani, zamani ilikuwa inafundishwa upendo, lakini sasa inafundishwa kutoa sadaka mingi ya mbesa na inaambiwa kanyaka mafuta ili ipate mbesa mingi, siyo kanyaga mafuta ipate upendo mingi. Wee, chah erru, angalia sana hii kitu! Ile mutu kule Kenya, morani moja imeiba " mbessa sabuni ya roho" haijaimba" upendo sabuni ya roho". Mimi iko nasema hivi, meti hela, meti upendo!
Ahsante sana ni mimi Ole Supu Supu , kama haitaki ite Ole Mukuki.
 
Sahihi sana
 
Kuna kupatana na kuambatana. Hizi ingredients ni muhimu sana kwenye maisha ya wanandoa. Siku hizi full kuviziana, kila mtu anataka ampige na kitu kizito kichwani mwenzake. Inasikitisha sana.
KATAA ndoa
 
Pia kinga ni bora kuliko tiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…