Kwenye ndoa watu wanaviziana

Kwenye ndoa watu wanaviziana

Ndoa yoyote ikijengwa kwenye misingi ya vitu haitoboi. Msingi wa ndoa ni upendo, kani Upendo husahau,huvumilia,husamehee na ndani yake hauna ubinafsi.

Siku hizi tunaokotana tu.
 
Ki uhalisia hapo ilitakiwa iweje????

Haya mambo mkiwa wote hizo mali na bla bla wala sio ishu.....ishu inakujaga pale mmoja akitangulia tena especially mwanaume. Na una watoto.....kiukweli hili hata tukijifanya hatuongelei ila huwa linaclick kichwani.

Ndugu wanakujaga kudai hadi miswaki. Baba angu alitangulia mapicha picha niliyaona kwa mama angu.
Kwa kusema za ukweli ni busara zaidi kuandika jina la mke maana ukiangalia ndoa nyingi mwanaume huwa anatangulia kufa na mke anasumbuliwa na ndugu kwenye suala la mirathi mama angu ni muanga wa hili, baada ya mzee kufa ndugu walichukua kila kitu watoto hatujarithi hata sahani kwenye mali alizoacha mzee.. tatizo kizazi cha sasa wanawake nao wamejanjaluka na kupitia harakati za ferminism na 50/50 wamepandikizwa roho za chuki na kisasi kwa mwanaume pia washajua sheria ya ndoa ina mianya ya kuwawezesha kupata hela/utajiri rahisi. Wanawake wanaitumia ndoa kama mradi wa kujinufaisha/kuwaondoa kwenye umasikini na pale mambo yanapoalibika kwa sababu sheria ya ndoa inawapendelea basi wanaitumia kama nyenzo ya kumkomoa mwanaume ndio maana na sisi wanaume tumeamua kukaa kitaalamu.
 
Umeandika uhalisia......

Mme akitangulia ndugu huwa wanacharuka mnooo wanavamiaga kama kunguni.
Kumuandika mke ni risk
Kuandika watoto mara vuuup DNA inasoma chenga chenga tu aaaah vurugu kila mahali.

Sa sijui tufanyeje.
 
Wacha tuendelee kuviziana tu mpk kieleweke...
 
Umeandika uhalisia......

Mme akitangulia ndugu huwa wanacharuka mnooo wanavamiaga kama kunguni.
Kumuandika mke ni risk
Kuandika watoto mara vuuup DNA inasoma chenga chenga tu aaaah vurugu kila mahali.

Sa sijui tufanyeje.

Mie nimemwandika huyo huyo Mama Yao, ikitokea tumehitilafiana, ntaondoka Mimi nikaishi zangu geto au nipotee kusikojulikana lakini najua watoto wapo mikono salama.

Ikitokea nimedondoka nikatangulia mbele za haki, Hali kadhalika hapatakua na bughudha za ndugu kwakuwa hata wao wanajua nimemwandika wife.

Haya yote ni Kwa ajili ya watoto. Ni nadra sana ndugu awe na uchungu wa wanangu kuliko Mama Yao.
 
Ngoja waje team Ashraf Hakimi 😹😹😹
Wazee wa kuandika mama zao hadi rimoti ina jina la mama.

Ni vema kuwawazia tu watoto, hongera kwa hilo
 
Ngoja waje team Ashraf Hakimi 😹😹😹
Wazee wa kuandika mama zao hadi rimoti ina jina la mama
Hiyo hapana, Mama nilishamalizana nae Yuko na mji wake hatuna madai yoyote na Kila Mara anakiluja nyumbani anakaa kadri atakavyo lakini anajua kabisa vitu vimeamdikwa Kwa Mkwe.

Na wadogo zangu kunifikia ni kupitia Kwa huyo huyo Mama Watoto. Nidham lazima iwepo hata kama hawampendi, Hilo ni jukumu langu la kupenda, wao kuheshim tu.

Izingatiwe, Mama wa watoto atakua na uchungu zaidi na wanangu kuliko ndugu zangu.
 
Umeandika uhalisia......

Mme akitangulia ndugu huwa wanacharuka mnooo wanavamiaga kama kunguni.
Kumuandika mke ni risk
Kuandika watoto mara vuuup DNA inasoma chenga chenga tu aaaah vurugu kila mahali.

Sa sijui tufanyeje.
Acha tuendelee kuuziana tu. Mwanamke anataka hela zangu mimi nataka sehemu ya kumaliza nyege zangu tunafanya exchange maisha yanaendelea tukichokana kila mmoja anatafuta business partner mwingine. Suala la kuoa tumemuachia Manara atuwakilishe.
 
Inazungumiziwa ndoa lakini??? Manaake kuna wengine hapo watoto.....
Swala la kutoa nyege halijawahi kuwa gumu.
 
Hiyo hapana, Mama nilishamalizana nae Yuko na mji wake hatuna madai yoyote na Kila Mara anakiluja nyumbani anakaa kadri atakavyo lakini anajua kabisa vitu vimeamdikwa Kwa Mkwe.

Na wadogo zangu kunifikia ni kupitia Kwa huyo huyo Mama Watoto. Nidham lazima iwepo hata kama hawampendi, Hilo ni jukumu langu la kupenda, wao kuheshim tu.

Izingatiwe, Mama wa watoto atakua na uchungu zaidi na wanangu kuliko ndugu zangu.
Umejenga msingi imara sana 🤝🤝

Wengine Mungu atutie nguvu 😹
 
Hiyo hapana, Mama nilishamalizana nae Yuko na mji wake hatuna madai yoyote na Kila Mara anakiluja nyumbani anakaa kadri atakavyo lakini anajua kabisa vitu vimeamdikwa Kwa Mkwe.

Na wadogo zangu kunifikia ni kupitia Kwa huyo huyo Mama Watoto. Nidham lazima iwepo hata kama hawampendi, Hilo ni jukumu langu la kupenda, wao kuheshim tu.

Izingatiwe, Mama wa watoto atakua na uchungu zaidi na wanangu kuliko ndugu zangu.
Na ivyo ndivyo inavyotakiwa. Shida ndio kumpata mke sahihi katika hiki kizazi cha ferminism.
 
Back
Top Bottom