Kwenye Ndoa yangu sitamsumbua mtu kwa michago na kadi

Joined
Mar 21, 2024
Posts
30
Reaction score
135
Ta-toa mahali kama kawaida, baada ya hapo sita m-sumbua mtu Kwa michago na kadi.

Siku ya ndoa, tamuomba mchungaji na familia ndoa ifanyike ufukweni, tena watu wakiwa wachache.
Ndugu zangu watano, na ndugu upande wa binti wa tano tu.

Baada ya happy tutapata chakula cha pamoja na pic za kumbukizi.

Sitahitaji kitchen part Wala send-off.
 
Mwenzio amekubali?
Unawajua wanawake vizuri?
Hivi unafikiri wanaume wanaoingizwa kingi kwenye sherehe kuuubwa huwa wanataka?
 
Vina muda basi¿???
 
20240208_153032.jpg
 
Mimi nilifanya hivyo... Kubariki ndoa , tulikuwa watu kama 10 hivi... Mke alipinga mwanzoni lakini nilitumia ubabe ! Kitu pekee Cha gharama ilikuwa ni Pete, kama 700,000 ambaxo alinumua yeye! Hata majirani hawakujua🤭.. walisukia tu pilau limezifisgwa viungo siku hiyo! Ila kati ya walio shangaa zaidi ni Mchungaji 🤔
 
Ta-toa mahali kama kawaida, baada ya hapo sita m-sumbua mtu Kwa michago na kadi.

Siku ya ndoa, tamuomba mchungaji na familia ndoa ifanyike ufukweni, tena watu wakiwa wachache.
Ndugu zangu watano, na ndugu upande wa binti wa tano tu.

Baada ya happy tutapata chakula cha pamoja na pic za kumbukizi.

Sitahitaji kitchen part Wala send-off.
Wazo zuri,nilifanya ya watu 100+ bila kuomba senti kwa mtu.
Ilienda poa tu watu walikula wakanywa na kudance usiku kucha.
Chakula kilibaki,kinywaji kilibaki kibao.
So kila kitu kinawezekana,ni utamaduni tu kushirikisha watu.
Niliwaambia tu mnakaribishwa,ikawa maneno hatujachanga,hamna vikao nawaambia kila kitu kiko tayari.
Ikawa basi tuje ukumbini tusaidie kupamba.
Nawaambia yupo mpambaji.
Wao wamo tu
Ilikua kazi sana kukataa.
Tulimaliza salama no kikao,nothing
 
Tatizo sio wewe, tatizo ni huyo ke utakaempata bila sherehe kubwa huwa hawaoni kama wameolewa
 
Mwenzio amekubali?
Unawajua wanawake vizuri?
Hivi unafikiri wanaume wanaoingizwa kingi kwenye sherehe kuuubwa huwa wanataka?
Tena asipokaa sawa atasikia "hautaki sherehe itakuwa una vichenchede vyako vingine hutaki vijue kama unaoa"
 
Back
Top Bottom