Kwenye NGOs ni vigumu sana kukuta wanawake walioolewa wakifanya kazi

Execute

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2022
Posts
3,000
Reaction score
7,336
NGO nyingi zinalipa mishahara mizuri kwa sababu nimewahi kufanya kazi kama consultant mahali kadhaa.

Utaona kuna wafanyakazi wakike wanaofikia hata 40 lakini mwenye ndoa unakuta ni mmoja au wawili.

Wengine wote aidha wanalea wenyewe au wapo single hata kama umri umesogea.
 
Sio kweli kabisa
 
Hawa wasio na ndoa ndio waharibifu wa maadili ya ndoa. Ni hatari kwa mustakabali wa maisha ya ndoa kwa kuwa wao hawajui thamani ya ndoa. Wana rise kampeni za kichochozi juu ya ndoa na kusababisha migogoro inayosababisha ndoa nyingi kuvunjika
 
Kataa ndoa kampeni waanzilishi Ni wanaume Kaka!sio wanawake
 
Back
Top Bottom