Hii kuendelea ni ngumu sana.Mkuu niunganishe na hao 40's ndio huwa nawapenda
Sio kweli kabisaNGO nyingi zinalipa mishahara mizuri kwa sababu nimewahi kufanya kazi kama consultant mahali kadhaa.
Utaona kuna wafanyakazi wakike wanaofikia hata 40 lakini mwenye ndoa unakuta ni mmoja au wawili.
Wengine wote aidha wanalea wenyewe au wapo single hata kama umri umesogea.
kwakua nimefanya kazi kwenye NGOs since 2004 hadi 2017, sikubishii ila nazungumzia kile ninachokifahamu.Yaani unanibishia kwa jambo nililoliona na ninaendelea kuliona?
Kataa ndoa kampeni waanzilishi Ni wanaume Kaka!sio wanawakeHawa wasio na ndoa ndio waharibifu wa maadili ya ndoa. Ni hatari kwa mustakabali wa maisha ya ndoa kwa kuwa wao hawajui thamani ya ndoa. Wana rise kampeni za kichochozi juu ya ndoa na kusababisha migogoro inayosababisha ndoa nyingi kuvunjika