Nataka nifahamu offside huwa inakuwaje?
Kuna wengine wanasema ukipigiwa mpira na upo juu ukaunganisha shuti hata ukiwa mbele siyo offside
Mchezaji anakuwa 'offiside' pale tu anapopokea pasi ilihali yupo mbele zaidi ya mchezaji wa mwisho wa timu pinzani kuelekea lango la timu pinzani.
Na eneo ambalo sheria ya 'offiside hutumika ni eneo lote la nusu ya timu pinzani.
Endapo mpira umerushwa basi hapo hakuna offiside, kinyume na hapo mpira wowote utaoguswa na mchezaji aliyeotea utahesabiwa ni faulo ya offside...
Nataka nifahamu offside huwa inakuwaje?
Mchezaji anayeshambulia akiwa peke yake kule mbele?
Je asipogusa mpira?
Kuna wengine wanasema ukipigiwa mpira na upo juu ukaunganisha shuti hata ukiwa mbele siyo offside
Usahihi wa offside ni upi?
Mchezaji anakuwa offside ikiwa sehemu aliyokuwepo atakuwa amewazidi walinzi wa timu pinzani zaidi ya nchi moja pindi mpira unapotoka mguuni mwa anayempigia pasi hata awe ni golikipa.
Je inaruhusiwa mpira ukiwa juu ila upo nje ya mstari ukawahiwa kabla haujatua chini ukarudishwa uwanjani?yaani zile pande mpira ukitoka unarushwa
Ushawahi kuona video clip YouTube,kipa kadaka mpira akasahau kuna mshambuliaji nyuma yake,ile anauweka chini aupige mshambuliaji akatoka nyuma akamwahi na kufunga goli,hiyo siyo offside?
Je inaruhusiwa mpira ukiwa juu ila upo nje ya mstari ukawahiwa kabla haujatua chini ukarudishwa uwanjani?yaani zile pande mpira ukitoka unarushwa
Hebu nami niulize swali,
Kama mchezaji amepiga mpira mbele ila kule mbele kuna mchezaji mwenzake ambae yupo offside lakin yule mchezaji alie offside hajagusa ule mpira na yule mchezaji aliepiga mpira amekimbia na kuukuta ule mpira, Je inakuwa offside au anaweza kufunga tu kama amepata nafasi ya kufunga?!!!
Mchezaji anakuwa 'offiside' pale tu anapopokea pasi ilihali yupo mbele zaidi ya mchezaji wa mwisho wa timu pinzani kuelekea lango la timu pinzani.
Na eneo ambalo sheria ya 'offiside hutumika ni eneo lote la nusu ya timu pinzani.
Endapo mpira umerushwa basi hapo hakuna offiside, kinyume na hapo mpira wowote utaoguswa na mchezaji aliyeotea utahesabiwa ni faulo ya offside...
Mchezaji anakua off side tu pale anapowazidi mabeki Wa timu pinzani pindi pasi inapotoka mguuni mwa anaeipiga,
Lakini anakua off side tu pale anapoonekana kutaka kujihusisha na pasi ile ikiwa hatoonesha kujihusisha na mpigaji akaifuta mwenyewe na kufunga ni goli halali.
Mnaweza mkawa wachezaji wengi mnaooneka mmezidi lakini kama hamkuujihusisha na play hiyo haiwi off side
Inategemea... kama huo mpira uliopigwa ulielekezwa kwa huyo mchezaji aliyekuwa mbele na hakuhugusa na alikuwa offside (akihusika nao vyovyote vile aidha body movement )basi hiyo itahesabika kama offsideHebu nami niulize swali,
Kama mchezaji amepiga mpira mbele ila kule mbele kuna mchezaji mwenzake ambae yupo offside lakin yule mchezaji alie offside hajagusa ule mpira na yule mchezaji aliepiga mpira amekimbia na kuukuta ule mpira, Je inakuwa offside au anaweza kufunga tu kama amepata nafasi ya kufunga?!!!
Ahsante kwa ufafanuzi wako mkuu.Inategemea... kama huo mpira uliopigwa ulielekezwa kwa huyo mchezaji aliyekuwa mbele na hakuhugusa na alikuwa offside (akihusika nao vyovyote vile aidha body movement )basi hiyo itahesabika kama offside
Lakini kama huyo mchezaji aliyekuwa mbele hakuhusika na mpira huyo kinamna vyovyote vile na ikatoke yule jamaa aliyeupiga mpira akaukuta na kufunga basi hilo goli litakuwa halali kabisa
Ahsante kwa ufafanuzi.Mchezaji anakua off side tu pale anapowazidi mabeki Wa timu pinzani pindi pasi inapotoka mguuni mwa anaeipiga,