Kwenye rasimu ili liangaliwe upya

Kwenye rasimu ili liangaliwe upya

MKILINDI

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2012
Posts
791
Reaction score
1,120
nimeisoma na kuielewa vizuri rasimu mpya ya katiba ni nzuri lakini katika hili inabidi tulitazame tena lakini kama haiwezekani iachwe kwa sababu mtoto akilia wembe......
1. Suala la serikali tatu haliniingii akilini linaweza leta hatari kubwa huko mbele ya safari
a/ ni wazi litavunja muungano

b/ litaongeza migogoro ya kisiasa kijamii na kiuchumi pia


c/ litaongeza matumizi ya bajeti ya rasilimali katika nchi ingawa kila serikali shiriki itatoa mchango katika railimali zake

d/ linaongeza utengano wa tanzania bara na visiwani kwa kasi isivyo kawaida
ushauri wangu;
tanzania bara tuendelee kukataa isipokuwa kama zanzibar wataendelea kuhitaji lets say go ahead.....
 
Bora ziwe tatu wenzetu wabishi sana sivyo tuuvunje
 
Na nyinyh watanganyika kwa nini msiwape nchi yao? Kipi mnafaidika nacho mpaka muung'ang'anie uwo muungano?
 
Tunahitaji serikali moja tu na kama ikifanyika kura ya maoni kwa pande zote mbili nadhani wananchi wengi watasema tuungane na kuwa nchi moja au uvunjiliwe mbali
 
Back
Top Bottom