Kwenye samaki unapenda kula nini?

@LadyRed kaniambia, ilà msimamo wangu uko pale pale mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]

Nimeona kuna sehemu mtoa mada amesema ana mashaka na comment yako ....

Nami nikajikuta napata mashaka na huyo samaki uliyemmaanisha [emoji3][emoji3]
 
Nimeona kuna sehemu mtoa mada amesema ana mashaka na comment yako

Nami nikajikuta napata mashaka na huyo samaki uliyemmaanisha [emoji3][emoji3]
@Chakorii hajasema ana mashaka na comment yangu, amesema haelewi mwandiko wangu, unajua sisi "madokta" tuna miandiko mibaya mkuu[emoji39][emoji39][emoji23]
 
Hata mie kiini cheusi sikipendi pia napenda sehemi ya tumbo pale kwa nje kwenye ulaini

Napenda kichwa kwa sababu kina nyama ndogo
Tuko pamoja kwenye kichwa mkuu lkni kwenye jicho labda nitoe kile kiini cheusi hapo sawa..

Nainjoi sana nikikula ubongo wa samaki wallah..
 
Wewe ni mwenzangu kabisa 😅
 
Minofu unakula upande huu nikimaliza nageuza nakula upande uliobaki basi imeisha hiyo labda kama ni wa kukaanga basi atabaki ni mifupa tu apo vipi?😜
 
@Chakorii hajasema ana mashaka na comment yangu, amesema haelewi mwandiko wangu, unajua sisi "madokta" tuna miandiko mibaya mkuu[emoji39][emoji39][emoji23]

Hahaha au siyo
 
Yeah somehow na improve lakini ulinipa moja tu nakusubiria uniongeze na nyingine nifanye vurugu 🤪🤪 tena leo nipo free na kesho.
Ohooo oky..leo wikend mzeiya nainjoy na shemeji yako😎mambo ni mengi 😅😅 leo na kesho.tutafutane kwanzia jumatatu chief

Uwe unapita na youtube pia itakusaidia..
Kila la kheri
 
Sisi wamasai ni ngumu kidogo kula samaki..labda mbuzi na hasa mimi napenda sana yale mapumbu yake yakibanikwa
 
yna2 hukukosea mama,Hatimae kafunguka mwenyewe 😂

Chakorii mambo zako mumieee,et dustbin ya kuweka hii miba iko wapi?
Mambo ni fresh kabisa...nilipotea katika mazingira ya kutatanisha sasa nimerudi🤣🤣🤣

Hiyo miiba weka kwenye wallet mkuu kwa matumizi ya kutegea panya home🤣🤣🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…