Terrible Teen
JF-Expert Member
- May 1, 2017
- 1,236
- 3,544
Kwa nafasi yangu nimefanya kazi kwa wakati tofauti na Mbowe na Zitto niseme tu hawa jamaa wanafanana sana kwenye siasa za kulinda maslahi yao binafsi. Wakati wa jakaya, ZZK ametumika sana kufanya siasa za kumaliza watu wa CCM kwa kutumia Kamati za Bunge huku yeye akıla vinono. Hali kadhalika Mbowe aliitumia CHADEMA kupata maslahi yake na watu wake kwa kulainishwa na Serikali bila wao CHADEMA Kufahamu.
Hata sasa , bila LISSU kushinda tayari, SSH alishaingia makubaliano na MBOWE namna ya kula vinono baada ya uchaguzi. Hii pia ni sambamba na ZZK aambaye atapewa Jimbo la Kigoma Mjini na kisha kupewa Kamati ya Bunge aendeleze aliyofanya wakati wa JK.
Naomba kuishia hapa.