Kwenye Soka amewahi kutokea mtu muongo kama Haji Manara?

Kwenye Soka amewahi kutokea mtu muongo kama Haji Manara?

Ok Haji anajulikana kwa tabia zake ila wewe OKW BOBAN SUNZU unaonekena ni wa hovyo mara mia ya Haji yaani thread zako hua ni za kujadiri watu
sijui machawa mna shida gani
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app

Wewe mwenyenyewe ndiye hovyo mara elfu kumi zaidi!
Uliwahi kuleta uzi hapa dhidi ya Haji Manara kumjadili!!
 
Wewe mwenyenyewe ndiye hovyo mara elfu kumi zaidi!
Uliwahi kuleta uzi hapa dhidi ya Haji Manara kumjadili!!
Kama umeshindwa kusoma content siwezi jadili kitu na wewe
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Haya maneno yanabadilisha nini mpaka nihangaike nayo
Sisi watanzania tuna tabia ya jabu sana. Hawa watu wa hovyo hovyo ndiyo tunapenda kuwafuatilia na kujibizana nao. Matokeo yake tunazidi kuwapa umaarufu ambao hawana. Mtu kama huyu njia nzuri kabisa ya ku-deal naye ni kumwacha abwabwaje mwenyewe kama kichaa. Akikosa watu wa kujizana naye atachoka na atatafuta kazi ya kufanya badala ya kuishi kwa kupiga mdomo.
 
Vipi kuhusu kauli ya ahmed ally kuhusu kustaafisha jezi namba 20 ya nungunungu?
 
Ok Haji anajulikana kwa tabia zake ila wewe OKW BOBAN SUNZU unaonekena ni wa hovyo mara mia ya Haji yaani thread zako hua ni za kujadiri watu
sijui machawa mna shida gani
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Ulianzisha uzi kumjadili Mo kufuatia tweet yake ya kusema anakaribia kukata tamaa.

Na tena ukaja kumtag huyo huyo unayemkataza asijadili watu, mje mjadili vizuri mambo ya watu.

Na ule uzi ulikuja kuunganishwa.

Acha kunyooshea watu vidole
 
HAJI SANDAY MANARA

Katika soka la FIFA Lenye Fair play

Hapajawahi kuwa na KIONGOZI.
Mnafiki.
MUONGO.
Mzushi.
Mfitini
Mgomvi.
Mshirikina
Mjivuni

HAJI SANDAY MANARA
 
View attachment 2701877

Sina umri mkubwa katika kufuatilia soka nje ya uwanja. Sijawahi kushuhudia mtu muongo kama huyu Haji.

Sijui wenzangu mtusaidie kama aliwahi kutokea mtu muongo na mfitini kama huyu kwenye soka.
Wewe na mimi ndio tunamuona muongo. Ila Yanga wenzie wanamuamini na ndio think-tank yao.

Sababu aliwaambia wenye akili wako wawili tu nadhan wamemchukua awe wa tatu.
 
Manara kasema kweli kuhusu kanuni za CAF kama imekuwa tofauti ni zengwe la CAF tu kuibania Yanga sababu ni ya watu weusi na inawakanda waarabu kwao mbele ya mashabiki wao na mamoshi na matochi yao!

Halafu Manara kasema Tena kweli Yanga itakuwa bingwa na ikawa bingwa kweli mi sijaona uongo kwenye hiyo clip itakuwa Manara kaficha funguo ya ugali wako tu au anataka kuwa mkwe wako nawe hutaki!

Mi nimeona una chuki nae binafsi tu, nyie mnajuana huko mjini Daslam si tuko zetu huku Rock City tunapiga full suit ugali dagaa asubuhi, mchana na jioni na tunamkubali sana Manara jombaa ana upepo na baraka, kila timu anakohamia ni makombe tu na Yanga hatutakubali Manara arudi kwenu Simba mbumbumbu fc kolowizard!
 
Back
Top Bottom