Kwenye Soka amewahi kutokea mtu muongo kama Haji Manara?

Kwenye Soka amewahi kutokea mtu muongo kama Haji Manara?

Vipi kuhusu kauli ya ahmed ally kuhusu kustaafisha jezi namba 20 ya nungunungu?
Anasema hawakuistaafisha milele, waliistafisha hadi alipopatikana mtu sahihi wakampa, haijalishi kama waliistaafisha kwa wiki moja au miaka miwili
 
Manara kasema kweli kuhusu kanuni za CAF kama imekuwa tofauti ni zengwe la CAF tu kuibania Yanga sababu ni ya watu weusi na inawakanda waarabu kwao mbele ya mashabiki wao na mamoshi na matochi yao!

Halafu Manara kasema Tena kweli Yanga itakuwa bingwa na ikawa bingwa kweli mi sijaona uongo kwenye hiyo clip itakuwa Manara kaficha funguo ya ugali wako tu au anataka kuwa mkwe wako nawe hutaki!

Mi nimeona una chuki nae binafsi tu, nyie mnajuana huko mjini Daslam si tuko zetu huku Rock City tunapiga full suit ugali dagaa asubuhi, mchana na jioni na tunamkubali sana Manara jombaa ana upepo na baraka, kila timu anakohamia ni makombe tu na Yanga hatutakubali Manara arudi kwenu Simba mbumbumbu fc kolowizard!

Bila shaka umeandika kitu unachokijua, ukiwa na uhakika nacho hasa kuhusu hizo kanuni za CAF!
Ili tuungane na wewe kumsupport Manara kwamba yupo sahihi, zilete hizo kanuni hapa ucite kabisa vipengele vinavyoeleza hayo!!!
 
Yanga wenye akili wapo wawili

Huu ndio ukweli pekee aliowahi ongea manara
 
Anasema hawakuistaafisha milele, waliistafisha hadi alipopatikana mtu sahihi wakampa, haijalishi kama waliistaafisha kwa wiki moja au miaka miwili
Hahhaa yaani unastaafisha leo kesho unampa mtu, wale wamefura baada ya kwenda simba
 
View attachment 2701877

Sina umri mkubwa katika kufuatilia soka nje ya uwanja. Sijawahi kushuhudia mtu muongo kama huyu Haji.

Sijui wenzangu mtusaidie kama aliwahi kutokea mtu muongo na mfitini kama huyu kwenye soka.
Try Again. Ohoo, tulieni Victorien Adebayo ni mnyama, hola. Lobi manzoki tumeisha msainishà simba. Wapi. Makabi lilepo anakuja kukiwasha. yuko wapi?
 
Back
Top Bottom