OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
View attachment 2701877
Sina umri mkubwa katika kufuatilia soka nje ya uwanja. Sijawahi kushuhudia mtu muongo kama huyu Haji. Sijui wenzangu mtusaidie kama aliwahi kutokea mtu muongo na mfitini kama huyu kwenye soka
Ok Haji anajulikana kwa tabia zake ila wewe OKW BOBAN SUNZU unaonekena ni wa hovyo mara mia ya Haji yaani thread zako hua ni za kujadiri watu
sijui machawa mna shida gani
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Kama umeshindwa kusoma content siwezi jadili kitu na weweWewe mwenyenyewe ndiye hovyo mara elfu kumi zaidi!
Uliwahi kuleta uzi hapa dhidi ya Haji Manara kumjadili!!
Hadji Manara simuelewi
mpka sasa nashindwa kumuelewa msemaji wa simba kuhusu swala la Ramadan Sigano kwnn alikurupuka kusema vitu asivyo kua na uhakika navyo pili wao wamepokea uongozi kutoka uongozi wa kina Rage hayo mambo ya simba kumsomesha Rama kayafahamu lini haoni kua kasha haribu sycology ya mchezaji? kama hii...www.jamiiforums.com
Sisi watanzania tuna tabia ya jabu sana. Hawa watu wa hovyo hovyo ndiyo tunapenda kuwafuatilia na kujibizana nao. Matokeo yake tunazidi kuwapa umaarufu ambao hawana. Mtu kama huyu njia nzuri kabisa ya ku-deal naye ni kumwacha abwabwaje mwenyewe kama kichaa. Akikosa watu wa kujizana naye atachoka na atatafuta kazi ya kufanya badala ya kuishi kwa kupiga mdomo.Haya maneno yanabadilisha nini mpaka nihangaike nayo
Kama umeshindwa kusoma content siwezi jadili kitu na wewe
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Vipi kuhusu kauli ya ahmed ally kuhusu kustaafisha jezi namba 20 ya nungunungu?
Ulianzisha uzi kumjadili Mo kufuatia tweet yake ya kusema anakaribia kukata tamaa.Ok Haji anajulikana kwa tabia zake ila wewe OKW BOBAN SUNZU unaonekena ni wa hovyo mara mia ya Haji yaani thread zako hua ni za kujadiri watu
sijui machawa mna shida gani
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Uongo wake nini?View attachment 2701877
Sina umri mkubwa katika kufuatilia soka nje ya uwanja. Sijawahi kushuhudia mtu muongo kama huyu Haji.
Sijui wenzangu mtusaidie kama aliwahi kutokea mtu muongo na mfitini kama huyu kwenye soka.
Leta hapa huo uziUlianzisha uzi kumjadili Mo kufuatia tweet yake ya kusema anakaribia kukata tamaa.
Na tena ukaja kumtag huyo huyo unayemkataza asijadili watu, mje mjadili vizuri mambo ya watu.
Na ule uzi ulikuja kuunganishwa.
Acha kunyooshea watu vidole
Kakae jikoni na dada yako mkate kate nyanya empty brainUwezo wako ni mdogo sana kujadili kitu ndio maana huwezi!!
Mara bhnaView attachment 2701877
Sina umri mkubwa katika kufuatilia soka nje ya uwanja. Sijawahi kushuhudia mtu muongo kama huyu Haji.
Sijui wenzangu mtusaidie kama aliwahi kutokea mtu muongo na mfitini kama huyu kwenye soka.
Wewe na mimi ndio tunamuona muongo. Ila Yanga wenzie wanamuamini na ndio think-tank yao.View attachment 2701877
Sina umri mkubwa katika kufuatilia soka nje ya uwanja. Sijawahi kushuhudia mtu muongo kama huyu Haji.
Sijui wenzangu mtusaidie kama aliwahi kutokea mtu muongo na mfitini kama huyu kwenye soka.