Kwenye Soka amewahi kutokea mtu muongo kama Haji Manara?

Vipi kuhusu kauli ya ahmed ally kuhusu kustaafisha jezi namba 20 ya nungunungu?
Anasema hawakuistaafisha milele, waliistafisha hadi alipopatikana mtu sahihi wakampa, haijalishi kama waliistaafisha kwa wiki moja au miaka miwili
 
Bila shaka umeandika kitu unachokijua, ukiwa na uhakika nacho hasa kuhusu hizo kanuni za CAF!
Ili tuungane na wewe kumsupport Manara kwamba yupo sahihi, zilete hizo kanuni hapa ucite kabisa vipengele vinavyoeleza hayo!!!
 
Yanga wenye akili wapo wawili

Huu ndio ukweli pekee aliowahi ongea manara
 
Anasema hawakuistaafisha milele, waliistafisha hadi alipopatikana mtu sahihi wakampa, haijalishi kama waliistaafisha kwa wiki moja au miaka miwili
Hahhaa yaani unastaafisha leo kesho unampa mtu, wale wamefura baada ya kwenda simba
 
View attachment 2701877

Sina umri mkubwa katika kufuatilia soka nje ya uwanja. Sijawahi kushuhudia mtu muongo kama huyu Haji.

Sijui wenzangu mtusaidie kama aliwahi kutokea mtu muongo na mfitini kama huyu kwenye soka.
Try Again. Ohoo, tulieni Victorien Adebayo ni mnyama, hola. Lobi manzoki tumeisha msainishà simba. Wapi. Makabi lilepo anakuja kukiwasha. yuko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…