Samurai 07
Member
- Oct 28, 2018
- 75
- 101
natumaini hivyo.Kama yupo humu hakika atauona huu Uzi, na atasoma comment yako 😅😅😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
natumaini hivyo.Kama yupo humu hakika atauona huu Uzi, na atasoma comment yako 😅😅😅
Kwenye elimu, wahaya tuna elimu, wachaga wameishia kucrem tuUnapozungumzia suala la ubishi, wapo watu wengi ambao ni wabishi, ila Waha ni exceptional. Ukizungumzia ubahili, wengi ni wabahili, ila Wapare ni special case. Ukigusa elimu, mikoa mingi inajitahidi, ila Wahaya ni special case.
Vivyo hivyo kwenye mapenzi, mafundi ni wengi sana, ila watu kutoka Tanga, swala la mapenzi wanalichukulia serious sana. Yeyote ambaye ashawahi date na wanawake wa kitanga anaweza akawa shahidi juu ya hili. Kabla sijawazoea, binti wa kitanga wa kwanza kudate nae, mambo mengi nilikuwa nashangaa.
Nilimuandalia chai, alivyomaliza kunywa akaniambia "Asante kwa kuninywesha maji ya makuti". Nikamuuliza kwanini unaita maji ya makuti? Hakunijibu akacheka tu. Ila siku alivyokuja kunipikia chai ndio nilielewa. Chai yao unakunywa hata bila kuweka majani. Ikimiminwa kwenye kikombe inatoa harufu zinazovutia.
Maji ya kuoga alikuwa anayaweka udi na manukato fulani nimeyasahau jina, kiasi kwamba ukitoka kuoga, bafuni panabaki harufu fulani nzuri. Hata wewe muogaji, mwili unabaki na harufu za manukato, sio sabuni. Chakula wakipika, kinavutia hata kwa macho, Yaani kabla hata hujala, kinakupa hamu.
Kwenye kudekeza ndio balaa. Mimi ni mgumu, lakini ilifikia kipindi hadi nikaanza kujishangaa. Maana nikikutana nae nakuwa kama vile last born wake. Hata nikijiminya minya mguu kuwa unauma, akitoka nje, anarudi na beseni, naanza kukandwa miguu. Na umri huu nilionao, kuna baadhi ya siku nilikuwa naogeshwa.
Mimi ni miongoni mwa wale watu ambao miili yetu hainaga Shukrani, hata tule vipi, miaka yote ngozi inakuwa imebanana na mwili. Ila ndani ya miezi 3 tokea niwe nae niliongezeka kilo 5. Yeye anafanya kazi ya kunicheka tu kuwa nilikuwa nakula ovyo, sikuwa nakula vizuri.
Linapokuja suala la 6x6, pia wako na mpangilio. Binafsi katika mahusiano yangu mengi sinaga kawaida ya kujifosi sex, nikipiga round zangu 3, hiyo imetoka, sitoi jasho zaidi. Tena katika hizo round 3, round ya kwanza ndio huwa naifurahia to the maximum, sometime naweza hata kufumba macho wakati napiz, ila hizo zingine mbili ni Kwa ajili ya heshima tu, nisijekuitwa Mourinho, nafunga goli moja halafu napaki bus.
Ila kwa mabinti wa kitanga, wana uwezo wa kukupeleka mchaka mchaka watakavyo. Usiku mmoja unaweza kwenda goli nne pure, sio zile za kujifosi, ni zile ambazo raha unaipata tokea unapump hadi unamwaga, sio wakati wa kumwaga peke yake.
Siku zote ambazo nilikuwa nipo ovyo halafu sijiskii kusex, hizo ndizo siku alikuwa ananifanya nakuwa active kwa kadiri anavyotaka yeye. Mpaka leo hii naamini mwanamke ndio anadetermine idadi ya round anazoenda mwanaume kitandani. Sasa hawa wengine mkiingia ndani anajibinua, anatulia, then anategemea uende round 5.
Lafudhi yao haichoshi kusikiliza, shape zao kawaida, ila mikito yao ni next level. Binafsi nilikuwa addicted sana na mishangazi, kiasi kwamba mabinti wa rika langu walikuwa hawanipi stimu, sikuwa nawapa attention sana. Nilivyopigwa chini na lishangazi linaitwa Mwahija, ndio nikaangua kwa binti wa kitanga, kiufupi aliplay role kubwa sana mpaka nikaamua kuachana na mashangazi, ili nikomae na rika langu. Na tokea hapo, nimekuwa na badili makabila tu, ila sitoki nje ya mkoa huo, nikitoka kidogo narudi[emoji28][emoji28]. Na Sina mpango wa kudate mashangazi tena, labda Mwahija akubali kunirudia au nimpate yule Mama ake Mariam, maana nae si haba.
Sema tatizo lao (mabinti wa kitanga), akikuacha maumivu yake ni kama vile umefukuzwa kazi au mstaafu aliyezudhulumiwa pension yake, hayavumiliki. Ukiwa na roho nyepesi unaweza omba msamaha hata kosa sio lako. Na ukienda Tanga kutafuta maisha, kama umeoa, unaweza telekeza familia yako.
Watanga wapo serious sana kwenye issue za mapenzi.
Kwenye elimu, wahaya tuna elimu, wachaga wameishia kucrem tu
Tuko na Rais Kumsapoti kwenye tume ya Kutoa haki wewe unawaza mbunyenga??Unapozungumzia suala la ubishi, wapo watu wengi ambao ni wabishi, ila Waha ni exceptional. Ukizungumzia ubahili, wengi ni wabahili, ila Wapare ni special case. Ukigusa elimu, mikoa mingi inajitahidi, ila Wahaya ni special case.
Vivyo hivyo kwenye mapenzi, mafundi ni wengi sana, ila watu kutoka Tanga, swala la mapenzi wanalichukulia serious sana. Yeyote ambaye ashawahi date na wanawake wa kitanga anaweza akawa shahidi juu ya hili. Kabla sijawazoea, binti wa kitanga wa kwanza kudate nae, mambo mengi nilikuwa nashangaa.
Nilimuandalia chai, alivyomaliza kunywa akaniambia "Asante kwa kuninywesha maji ya makuti". Nikamuuliza kwanini unaita maji ya makuti? Hakunijibu akacheka tu. Ila siku alivyokuja kunipikia chai ndio nilielewa. Chai yao unakunywa hata bila kuweka majani. Ikimiminwa kwenye kikombe inatoa harufu zinazovutia.
Maji ya kuoga alikuwa anayaweka udi na manukato fulani nimeyasahau jina, kiasi kwamba ukitoka kuoga, bafuni panabaki harufu fulani nzuri. Hata wewe muogaji, mwili unabaki na harufu za manukato, sio sabuni. Chakula wakipika, kinavutia hata kwa macho, Yaani kabla hata hujala, kinakupa hamu.
Kwenye kudekeza ndio balaa. Mimi ni mgumu, lakini ilifikia kipindi hadi nikaanza kujishangaa. Maana nikikutana nae nakuwa kama vile last born wake. Hata nikijiminya minya mguu kuwa unauma, akitoka nje, anarudi na beseni, naanza kukandwa miguu. Na umri huu nilionao, kuna baadhi ya siku nilikuwa naogeshwa.
Mimi ni miongoni mwa wale watu ambao miili yetu hainaga Shukrani, hata tule vipi, miaka yote ngozi inakuwa imebanana na mwili. Ila ndani ya miezi 3 tokea niwe nae niliongezeka kilo 5. Yeye anafanya kazi ya kunicheka tu kuwa nilikuwa nakula ovyo, sikuwa nakula vizuri.
Linapokuja suala la 6x6, pia wako na mpangilio. Binafsi katika mahusiano yangu mengi sinaga kawaida ya kujifosi sex, nikipiga round zangu 3, hiyo imetoka, sitoi jasho zaidi. Tena katika hizo round 3, round ya kwanza ndio huwa naifurahia to the maximum, sometime naweza hata kufumba macho wakati napiz, ila hizo zingine mbili ni Kwa ajili ya heshima tu, nisijekuitwa Mourinho, nafunga goli moja halafu napaki bus.
Ila kwa mabinti wa kitanga, wana uwezo wa kukupeleka mchaka mchaka watakavyo. Usiku mmoja unaweza kwenda goli nne pure, sio zile za kujifosi, ni zile ambazo raha unaipata tokea unapump hadi unamwaga, sio wakati wa kumwaga peke yake.
Siku zote ambazo nilikuwa nipo ovyo halafu sijiskii kusex, hizo ndizo siku alikuwa ananifanya nakuwa active kwa kadiri anavyotaka yeye. Mpaka leo hii naamini mwanamke ndio anadetermine idadi ya round anazoenda mwanaume kitandani. Sasa hawa wengine mkiingia ndani anajibinua, anatulia, then anategemea uende round 5.
Lafudhi yao haichoshi kusikiliza, shape zao kawaida, ila mikito yao ni next level. Binafsi nilikuwa addicted sana na mishangazi, kiasi kwamba mabinti wa rika langu walikuwa hawanipi stimu, sikuwa nawapa attention sana. Nilivyopigwa chini na lishangazi linaitwa Mwahija, ndio nikaangua kwa binti wa kitanga, kiufupi aliplay role kubwa sana mpaka nikaamua kuachana na mashangazi, ili nikomae na rika langu. Na tokea hapo, nimekuwa na badili makabila tu, ila sitoki nje ya mkoa huo, nikitoka kidogo narudi😅😅. Na Sina mpango wa kudate mashangazi tena, labda Mwahija akubali kunirudia au nimpate yule Mama ake Mariam, maana nae si haba.
Sema tatizo lao (mabinti wa kitanga), akikuacha maumivu yake ni kama vile umefukuzwa kazi au mstaafu aliyezudhulumiwa pension yake, hayavumiliki. Ukiwa na roho nyepesi unaweza omba msamaha hata kosa sio lako. Na ukienda Tanga kutafuta maisha, kama umeoa, unaweza telekeza familia yako.
Watanga wapo serious sana kwenye issue za mapenzi.
😅😅😅Wewe yanakusaidia nini ukishayajua?? Umeisoma thread kweli?? Umeambiwa kwenye elimu ni Kagera unataka kujua huku iwe vipi sasa
Umekosea jukwaa mkuu. Maswala ya katiba tunakutana nayo kwenye jukwaa la katiba au la siasa.Tuko na Rais Kumsapoti kwenye tume ya Kutoa haki wewe unawaza mbunyenga??
Katiba Mpya kweli itapatikana?
Watanga mmerudi tena kujisifia eeeh?Unapozungumzia suala la ubishi, wapo watu wengi ambao ni wabishi, ila Waha ni exceptional. Ukizungumzia ubahili, wengi ni wabahili, ila Wapare ni special case. Ukigusa elimu, mikoa mingi inajitahidi, ila Wahaya ni special case.
Vivyo hivyo kwenye mapenzi, mafundi ni wengi sana, ila watu kutoka Tanga, swala la mapenzi wanalichukulia serious sana. Yeyote ambaye ashawahi date na wanawake wa kitanga anaweza akawa shahidi juu ya hili. Kabla sijawazoea, binti wa kitanga wa kwanza kudate nae, mambo mengi nilikuwa nashangaa.
Nilimuandalia chai, alivyomaliza kunywa akaniambia "Asante kwa kuninywesha maji ya makuti". Nikamuuliza kwanini unaita maji ya makuti? Hakunijibu akacheka tu. Ila siku alivyokuja kunipikia chai ndio nilielewa. Chai yao unakunywa hata bila kuweka majani. Ikimiminwa kwenye kikombe inatoa harufu zinazovutia.
Maji ya kuoga alikuwa anayaweka udi na manukato fulani nimeyasahau jina, kiasi kwamba ukitoka kuoga, bafuni panabaki harufu fulani nzuri. Hata wewe muogaji, mwili unabaki na harufu za manukato, sio sabuni. Chakula wakipika, kinavutia hata kwa macho, Yaani kabla hata hujala, kinakupa hamu.
Kwenye kudekeza ndio balaa. Mimi ni mgumu, lakini ilifikia kipindi hadi nikaanza kujishangaa. Maana nikikutana nae nakuwa kama vile last born wake. Hata nikijiminya minya mguu kuwa unauma, akitoka nje, anarudi na beseni, naanza kukandwa miguu. Na umri huu nilionao, kuna baadhi ya siku nilikuwa naogeshwa.
Mimi ni miongoni mwa wale watu ambao miili yetu hainaga Shukrani, hata tule vipi, miaka yote ngozi inakuwa imebanana na mwili. Ila ndani ya miezi 3 tokea niwe nae niliongezeka kilo 5. Yeye anafanya kazi ya kunicheka tu kuwa nilikuwa nakula ovyo, sikuwa nakula vizuri.
Linapokuja suala la 6x6, pia wako na mpangilio. Binafsi katika mahusiano yangu mengi sinaga kawaida ya kujifosi sex, nikipiga round zangu 3, hiyo imetoka, sitoi jasho zaidi. Tena katika hizo round 3, round ya kwanza ndio huwa naifurahia to the maximum, sometime naweza hata kufumba macho wakati napiz, ila hizo zingine mbili ni Kwa ajili ya heshima tu, nisijekuitwa Mourinho, nafunga goli moja halafu napaki bus.
Ila kwa mabinti wa kitanga, wana uwezo wa kukupeleka mchaka mchaka watakavyo. Usiku mmoja unaweza kwenda goli nne pure, sio zile za kujifosi, ni zile ambazo raha unaipata tokea unapump hadi unamwaga, sio wakati wa kumwaga peke yake.
Siku zote ambazo nilikuwa nipo ovyo halafu sijiskii kusex, hizo ndizo siku alikuwa ananifanya nakuwa active kwa kadiri anavyotaka yeye. Mpaka leo hii naamini mwanamke ndio anadetermine idadi ya round anazoenda mwanaume kitandani. Sasa hawa wengine mkiingia ndani anajibinua, anatulia, then anategemea uende round 5.
Lafudhi yao haichoshi kusikiliza, shape zao kawaida, ila mikito yao ni next level. Binafsi nilikuwa addicted sana na mishangazi, kiasi kwamba mabinti wa rika langu walikuwa hawanipi stimu, sikuwa nawapa attention sana. Nilivyopigwa chini na lishangazi linaitwa Mwahija, ndio nikaangua kwa binti wa kitanga, kiufupi aliplay role kubwa sana mpaka nikaamua kuachana na mashangazi, ili nikomae na rika langu. Na tokea hapo, nimekuwa na badili makabila tu, ila sitoki nje ya mkoa huo, nikitoka kidogo narudi😅😅. Na Sina mpango wa kudate mashangazi tena, labda Mwahija akubali kunirudia au nimpate yule Mama ake Mariam, maana nae si haba.
Sema tatizo lao (mabinti wa kitanga), akikuacha maumivu yake ni kama vile umefukuzwa kazi au mstaafu aliyezudhulumiwa pension yake, hayavumiliki. Ukiwa na roho nyepesi unaweza omba msamaha hata kosa sio lako. Na ukienda Tanga kutafuta maisha, kama umeoa, unaweza telekeza familia yako.
Watanga wapo serious sana kwenye issue za mapenzi.
😅😅😅Umekosea jukwaa mkuu. Maswala ya katiba tunakutana nayo kwenye jukwaa la katiba au la siasa.
Huku ni mapenzi, mahusiano na urafiki.
😅😅😅😅
Unasema kweli, watu wa mara wana akili sanaHata sio kiivyooo !
Tena huenda mkoa wa Mara na wasukuma wakawa wanawazidi ni vile hawanaga kule kujionesha kwa watu!
Nimecheka sanaJibu unalo sasa auntie [emoji1787][emoji1787] tukiachwa kama hatujaachwa na tukiacha kama hatujaacha wanapaita tanga sisi tunapaita nyumbani [emoji1787][emoji1787]
Unasema kweli, watu wa mara wana akili sana
Hatari dada yangu hao watu wako vizuri kitandani na kamwe hatakwambia nimechokaYou can say that again... Albinoomweusi Mara ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Kabisaa yanii anatafuta upenyo akuzabueSo tuwe na tahadhari?
Dalili unaziona ila utaona ndo mapenzi utajiona unampenda sana na watu wa pembeni wanakuonea wivu..maana atakua juu yako na usiwe na cha kumfanya anakuendesha anakusaliti wazi wazi na huna cha kumfanya atadai vitu ambavyo huna uwezo nao ili tu akuendeshe na wewe utahisi ni mapenzi so utakaba uibe umfuraishe...kwa upande wangu nilipigwa la buku jero so nilishtuka mapema nkaona hapa nafanyiwa mchezolliwah kukuta mkuu?? mwanaume aliefanyiwa limbwata anajijua??
Ni kawahda kua na tabia na mwenendo mzuri ila uo ni mwanzo tu ili usikurupuke ata akichomekea tabia za ovyo ovyoNimekuelewa master. Ndio maana nikawa nakazia kwenye matendo yao, maana kuhusu limbwata Sina uzoefu