Kwenye suala la mapenzi, mabinti wa kitanga ni undisputed

Tanga ni Kwa wote. Hata wageni wakiingia Kwa mara ya kwanza, lazima waweke kambi. Ntakuja kununua kiwanja huko, nikaribisheni [emoji28][emoji28]
[emoji1787][emoji1787] karibu sana Mr Analyse ukija huku njoo na nguo ulizovaa tu
 
Unapozungumzia suala la ubishi, wapo watu wengi ambao ni wabishi, ila Waha ni exceptional. Ukizungumzia ubahili, wengi ni wabahili, ila Wapare ni special case. Ukigusa elimu, mikoa mingi inajitahidi, ila Wahaya ni special case.

Vivyo hivyo kwenye mapenzi, mafundi ni wengi sana, ila watu kutoka Tanga, swala la mapenzi wanalichukulia serious sana. Yeyote ambaye ashawahi date na wanawake wa kitanga anaweza akawa shahidi juu ya hili. Kabla sijawazoea, binti wa kitanga wa kwanza kudate nae, mambo mengi nilikuwa nashangaa.

Nilimuandalia chai, alivyomaliza kunywa akaniambia "Asante kwa kuninywesha maji ya makuti". Nikamuuliza kwanini unaita maji ya makuti? Hakunijibu akacheka tu. Ila siku alivyokuja kunipikia chai ndio nilielewa. Chai yao unakunywa hata bila kuweka majani. Ikimiminwa kwenye kikombe inatoa harufu zinazovutia.

Maji ya kuoga alikuwa anayaweka udi na manukato fulani nimeyasahau jina, kiasi kwamba ukitoka kuoga, bafuni panabaki harufu fulani nzuri. Hata wewe muogaji, mwili unabaki na harufu za manukato, sio sabuni. Chakula wakipika, kinavutia hata kwa macho, Yaani kabla hata hujala, kinakupa hamu.

Kwenye kudekeza ndio balaa. Mimi ni mgumu, lakini ilifikia kipindi hadi nikaanza kujishangaa. Maana nikikutana nae nakuwa kama vile last born wake. Hata nikijiminya minya mguu kuwa unauma, akitoka nje, anarudi na beseni, naanza kukandwa miguu. Na umri huu nilionao, kuna baadhi ya siku nilikuwa naogeshwa.

Mimi ni miongoni mwa wale watu ambao miili yetu hainaga Shukrani, hata tule vipi, miaka yote ngozi inakuwa imebanana na mwili. Ila ndani ya miezi 3 tokea niwe nae niliongezeka kilo 5. Yeye anafanya kazi ya kunicheka tu kuwa nilikuwa nakula ovyo, sikuwa nakula vizuri.

Linapokuja suala la 6x6, pia wako na mpangilio. Binafsi katika mahusiano yangu mengi sinaga kawaida ya kujifosi sex, nikipiga round zangu 3, hiyo imetoka, sitoi jasho zaidi. Tena katika hizo round 3, round ya kwanza ndio huwa naifurahia to the maximum, sometime naweza hata kufumba macho wakati napiz, ila hizo zingine mbili ni Kwa ajili ya heshima tu, nisijekuitwa Mourinho, nafunga goli moja halafu napaki bus.

Ila kwa mabinti wa kitanga, wana uwezo wa kukupeleka mchaka mchaka watakavyo. Usiku mmoja unaweza kwenda goli nne pure, sio zile za kujifosi, ni zile ambazo raha unaipata tokea unapump hadi unamwaga, sio wakati wa kumwaga peke yake.

Siku zote ambazo nilikuwa nipo ovyo halafu sijiskii kusex, hizo ndizo siku alikuwa ananifanya nakuwa active kwa kadiri anavyotaka yeye. Mpaka leo hii naamini mwanamke ndio anadetermine idadi ya round anazoenda mwanaume kitandani. Sasa hawa wengine mkiingia ndani anajibinua, anatulia, then anategemea uende round 5.

Lafudhi yao haichoshi kusikiliza, shape zao kawaida, ila mikito yao ni next level. Binafsi nilikuwa addicted sana na mishangazi, kiasi kwamba mabinti wa rika langu walikuwa hawanipi stimu, sikuwa nawapa attention sana. Nilivyopigwa chini na lishangazi linaitwa Mwahija, ndio nikaangua kwa binti wa kitanga, kiufupi aliplay role kubwa sana mpaka nikaamua kuachana na mashangazi, ili nikomae na rika langu. Na tokea hapo, nimekuwa na badili makabila tu, ila sitoki nje ya mkoa huo, nikitoka kidogo narudi[emoji28][emoji28]. Na Sina mpango wa kudate mashangazi tena, labda Mwahija akubali kunirudia au nimpate yule Mama ake Mariam, maana nae si haba.

Sema tatizo lao (mabinti wa kitanga), akikuacha maumivu yake ni kama vile umefukuzwa kazi au mstaafu aliyezudhulumiwa pension yake, hayavumiliki. Ukiwa na roho nyepesi unaweza omba msamaha hata kosa sio lako. Na ukienda Tanga kutafuta maisha, kama umeoa, unaweza telekeza familia yako.

Watanga wapo serious sana kwenye issue za mapenzi.
Inatokana na wewe ulikuaje mimi nimejaa tanga miaka minne ni mgeni natokea dar sijaona cha ajabu tena naona kwenye chakula hakuna kitu si tumezoea dambo dambo fresh nyama choma kuku sekela chapat upate za zahir au chief pride tanga hawaingii hata kwa sent hawana lolote hata mapenz hawajui ni wizi tu kwa malimbuken
 
Aisee nusu nianze kulia umenikumbusha mbali chief, tena yule mtoto alikuwa anajua kupika sijui nilikosea wapi, yan me nlikuwa sipendag kabich, dagaa, spinach na vitu kama izo ila yule demu ndio alinifanya nijue kumbe kabich ni tamu kama nyama tu aisee.. Nimekuja kuangukia kwa mtu anajua kupiga ugali maharage na maparachichi ya tukuyu aiseee... ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ
Kama huna hela ya kununua nyama ( kilo 10000) usijifariji kwa kusema babichi tamu ( Fungu 200).Tafuta hela ule nyama mkuu
 
Unapozungumzia suala la ubishi, wapo watu wengi ambao ni wabishi, ila Waha ni exceptional. Ukizungumzia ubahili, wengi ni wabahili, ila Wapare ni special case. Ukigusa elimu, mikoa mingi inajitahidi, ila Wahaya ni special case.

Vivyo hivyo kwenye mapenzi, mafundi ni wengi sana, ila watu kutoka Tanga, swala la mapenzi wanalichukulia serious sana. Yeyote ambaye ashawahi date na wanawake wa kitanga anaweza akawa shahidi juu ya hili. Kabla sijawazoea, binti wa kitanga wa kwanza kudate nae, mambo mengi nilikuwa nashangaa.

Nilimuandalia chai, alivyomaliza kunywa akaniambia "Asante kwa kuninywesha maji ya makuti". Nikamuuliza kwanini unaita maji ya makuti? Hakunijibu akacheka tu. Ila siku alivyokuja kunipikia chai ndio nilielewa. Chai yao unakunywa hata bila kuweka majani. Ikimiminwa kwenye kikombe inatoa harufu zinazovutia.

Maji ya kuoga alikuwa anayaweka udi na manukato fulani nimeyasahau jina, kiasi kwamba ukitoka kuoga, bafuni panabaki harufu fulani nzuri. Hata wewe muogaji, mwili unabaki na harufu za manukato, sio sabuni. Chakula wakipika, kinavutia hata kwa macho, Yaani kabla hata hujala, kinakupa hamu.

Kwenye kudekeza ndio balaa. Mimi ni mgumu, lakini ilifikia kipindi hadi nikaanza kujishangaa. Maana nikikutana nae nakuwa kama vile last born wake. Hata nikijiminya minya mguu kuwa unauma, akitoka nje, anarudi na beseni, naanza kukandwa miguu. Na umri huu nilionao, kuna baadhi ya siku nilikuwa naogeshwa.

Mimi ni miongoni mwa wale watu ambao miili yetu hainaga Shukrani, hata tule vipi, miaka yote ngozi inakuwa imebanana na mwili. Ila ndani ya miezi 3 tokea niwe nae niliongezeka kilo 5. Yeye anafanya kazi ya kunicheka tu kuwa nilikuwa nakula ovyo, sikuwa nakula vizuri.

Linapokuja suala la 6x6, pia wako na mpangilio. Binafsi katika mahusiano yangu mengi sinaga kawaida ya kujifosi sex, nikipiga round zangu 3, hiyo imetoka, sitoi jasho zaidi. Tena katika hizo round 3, round ya kwanza ndio huwa naifurahia to the maximum, sometime naweza hata kufumba macho wakati napiz, ila hizo zingine mbili ni Kwa ajili ya heshima tu, nisijekuitwa Mourinho, nafunga goli moja halafu napaki bus.

Ila kwa mabinti wa kitanga, wana uwezo wa kukupeleka mchaka mchaka watakavyo. Usiku mmoja unaweza kwenda goli nne pure, sio zile za kujifosi, ni zile ambazo raha unaipata tokea unapump hadi unamwaga, sio wakati wa kumwaga peke yake.

Siku zote ambazo nilikuwa nipo ovyo halafu sijiskii kusex, hizo ndizo siku alikuwa ananifanya nakuwa active kwa kadiri anavyotaka yeye. Mpaka leo hii naamini mwanamke ndio anadetermine idadi ya round anazoenda mwanaume kitandani. Sasa hawa wengine mkiingia ndani anajibinua, anatulia, then anategemea uende round 5.

Lafudhi yao haichoshi kusikiliza, shape zao kawaida, ila mikito yao ni next level. Binafsi nilikuwa addicted sana na mishangazi, kiasi kwamba mabinti wa rika langu walikuwa hawanipi stimu, sikuwa nawapa attention sana. Nilivyopigwa chini na lishangazi linaitwa Mwahija, ndio nikaangua kwa binti wa kitanga, kiufupi aliplay role kubwa sana mpaka nikaamua kuachana na mashangazi, ili nikomae na rika langu. Na tokea hapo, nimekuwa na badili makabila tu, ila sitoki nje ya mkoa huo, nikitoka kidogo narudi๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…. Na Sina mpango wa kudate mashangazi tena, labda Mwahija akubali kunirudia au nimpate yule Mama ake Mariam, maana nae si haba.

Sema tatizo lao (mabinti wa kitanga), akikuacha maumivu yake ni kama vile umefukuzwa kazi au mstaafu aliyezudhulumiwa pension yake, hayavumiliki. Ukiwa na roho nyepesi unaweza omba msamaha hata kosa sio lako. Na ukienda Tanga kutafuta maisha, kama umeoa, unaweza telekeza familia yako.

Watanga wapo serious sana kwenye issue za mapenzi.
yaani kichwa chako kimejaa upumbavu mtupu wa ngono ngon tu. what awasted sperm!
 
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… Sasa mkuu, umekuja kwenye jukwaa la mahusiano na mapenzi,alaf unataka tujadili nini?

Nenda kaanzishe mada kwenye jukwaa la biashara au siasa, nitakuja kuchangia ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š
 
Kama huna hela ya kununua nyama ( kilo 10000) usijifariji kwa kusema babichi tamu ( Fungu 200).Tafuta hela ule nyama mkuu
We jamaa nyama ndio unaona bei ghali sana? Mbona me nimechoka kula nyama mpaka nimeamua kuwa vegetarian, anyways kuna kitu huelew labda mkuu nyama pekeake haitoshag mboga zingine lazima ziwepo mkuu sikusema kama nyama haipo hata vikiwepo vyote na kabichi( sio babich kama ulivyosema wewe), mimi nlikuwa kabich sili, mkuu yan naweza kuaford vodacom Superfast 100, offering download speeds of up to 100Mbps, and upload speeds of up to 18Mbps, nishindwe nyama, your kiding right?
 
Nakubaliana na Mtoa mada Tanga si Mchezo lakini pia hawa mabinti wa musoma nao wako vizuri jamani mi nimebahatika juwa nao wawili toka kanda maalum aaah si haba ila wanahasira kitu kidogo Jazba
 
You can say that again... Albinoomweusi Mara ni ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
 
Back
Top Bottom