Ndege Tai
JF-Expert Member
- May 6, 2020
- 4,439
- 8,184
Mamuu ni nickname ya Mariamu kma sijakoseaUkweli kabisa usiopingika, Wakwangu alikua anaitwa Mamuu. Tumepotezana muda mrefu naomba nichkue nafasi hapahapa kumtafuta. wacha nimwambie neno "Mamuu nimeuona huu uzi nikauchukulia fursa hapa hapa. Ninakuwaza kila siku Mamungi ukiuona huu huzi ujibu kwa hapa chini nijue ni ww. wako mpenzi tuliepotezana.