Kwenye suala la mapenzi, mabinti wa kitanga ni undisputed

Kwenye suala la mapenzi, mabinti wa kitanga ni undisputed

Ukweli kabisa usiopingika, Wakwangu alikua anaitwa Mamuu. Tumepotezana muda mrefu naomba nichkue nafasi hapahapa kumtafuta. wacha nimwambie neno "Mamuu nimeuona huu uzi nikauchukulia fursa hapa hapa. Ninakuwaza kila siku Mamungi ukiuona huu huzi ujibu kwa hapa chini nijue ni ww. wako mpenzi tuliepotezana.
Mamuu ni nickname ya Mariamu kma sijakosea
 
Ukweli kabisa usiopingika, Wakwangu alikua anaitwa Mamuu. Tumepotezana muda mrefu naomba nichkue nafasi hapahapa kumtafuta. wacha nimwambie neno "Mamuu nimeuona huu uzi nikauchukulia fursa hapa hapa. Ninakuwaza kila siku Mamungi ukiuona huu huzi ujibu kwa hapa chini nijue ni ww. wako mpenzi tuliepotezana.
Kama yupo humu hakika atauona huu Uzi, na atasoma comment yako 😅😅😅
 
Hata nikijiminya minya mguu kuwa unauma, akitoka nje, anarudi na beseni, naanza kukandwa miguu. Na umri huu nilionao, kuna baadhi ya siku nilikuwa naogeshwa.
Loool! Mweee! wajameni mie kwakweli km ni hivi hapana!!! mambo ya kukandwa kandwa kwenye Mabeseni km kiwete sijui mgonjwa!!!! sitaki na kwakweli mtanisamehe nyie watu wa Tanga!

Mara eti sijui niogeshwe weee!! kwenye beseni! nisuguliweee! na dodoki daaaa!! km mie mgonjwa mara sijui eti anikande miguu bila sababun asee ntakupiga mateke ukome! na hutarudia tena!! sijui harufu ya manukato shabash!!

Naoga maji maji kweli safi na salama!! siyo uniwekee mijimanukato weeee!! muraaa! saa nagapi?? wkt naenda kutafuta mapesaa bana???...kwanza hata ke kunihurumia hurumia spipendagi kabisa!!

Mie ni kazi kazi tuuu!! nikipigana hata km nimepigwaa wewe tusonge mbele tu tujipange upya!! sitaki kabisa kuhurumiwa mimi!...saaana nitakupiga makofi!! km ukijionyesha kwangu ivo!!

ndo tabia yangu tangu nikiwa mtoto!!........ukitaka tuelewane wewe cheka sana, af tujipange kiu pyaaa! tukaanze mapambano au piga kimyaa tu!
 
Alafu wapole balaa sema vihadura hasira vya chini chini

Ni wakimya na sio wapole!

Kuna tofauti ya upole na kuwa mkimya.

Majambazi wengi huwa ni wakimyaaaa!

Hata wachawi Na magaidi huwa ni wakimya mno.

Lakini mioyo yao imejaa hila na ubaya!
 
Back
Top Bottom