Kwenye suala la mapenzi, mabinti wa kitanga ni undisputed

Kwenye suala la mapenzi, mabinti wa kitanga ni undisputed

[emoji28][emoji28][emoji28] Bado nipo kwenye mechi za kirafiki, uwanja wa kukodi. Wachezaji wanajituma, pengine dirisha kubwa tutafanya usajili[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji16][emoji16] dirisha lipo wazi kwa haohao wachezaji wanaojituma
 
Nadhani utakuwa unavutia hivyohivyo Kama uandishi wako!tukielewana mimi Ni mfipa unaeza pata na experience za Sumbawanga!πŸ€”πŸ€”
Nialike pm nilete CV zangu. Nimepamiss Mpanda πŸ™ˆ
 
Alafu sasa mwanamke yule kanikoleza na utamu baada ya hapo kanifungia madirisha kabisa yaani ndio imebakia memory tuu
Wakiamua kusepa, imekula kwako. Wanakuwaga makauzu sana πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Mmh ya kweli hayo? Tanga binti yeyote aliyevunja ungo, akija bara ni mwalim/ kungwiπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
usinambie nimeikalia ajira bila kujua?? ngoja nichangamkie fursa, ila kwenye hio chai ya makuti nimecheka kama mjinga hata mimi chai ya majani matupu siiwezi bora nichemshe mchaichai bila majani ya chai nakunywa bila shida
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Nimeandaa chai, alaf yeye naiita maji ya makuti???

Anza darasa na huyo mmoja aliyejitokeza
 
Back
Top Bottom