Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,637
- 47,413
- Thread starter
- #201
Mabinti wote wa kitanga ambao nishawahi kuwa nao, ilikuwa hata tugombane vipi, sinyimwi shoo. Ila akiondoka Bado ataendelea kukununia, wanapenda kudeka sana, japo wao pia ni mafundi wa kudekezaKwa jinsi hiyo hata wanaume wao watakuwa hawana magonjwa ya pressure,kama huku kwingine mara mnagombania mali,mara hajapika kisa na yeye kachoka,mara chakula cha usiku hupewi mpaka atakapojisikia,mara unarudi nyumbani anaambiwa house girl kampokee baba na umuandalie na chakula,hatari sana kwakweli...