Kwenye suala la mapenzi, mabinti wa kitanga ni undisputed

Kwenye suala la mapenzi, mabinti wa kitanga ni undisputed

Unapozungumzia suala la ubishi, wapo watu wengi ambao ni wabishi, ila Waha ni exceptional. Ukizungumzia ubahili, wengi ni wabahili, ila Wapare ni special case. Ukigusa elimu, mikoa mingi inajitahidi, ila Wahaya ni special case.

Vivyo hivyo kwenye mapenzi, mafundi ni wengi sana, ila watu kutoka Tanga, swala la mapenzi wanalichukulia serious sana. Yeyote ambaye ashawahi date na wanawake wa kitanga anaweza akawa shahidi juu ya hili. Kabla sijawazoea, binti wa kitanga wa kwanza kudate nae, mambo mengi nilikuwa nashangaa.

Nilimuandalia chai, alivyomaliza kunywa akaniambia "Asante kwa kuninywesha maji ya makuti". Nikamuuliza kwanini unaita maji ya makuti? Hakunijibu akacheka tu. Ila siku alivyokuja kunipikia chai ndio nilielewa. Chai yao unakunywa hata bila kuweka majani. Ikimiminwa kwenye kikombe inatoa harufu zinazovutia.

Maji ya kuoga alikuwa anayaweka udi na manukato fulani nimeyasahau jina, kiasi kwamba ukitoka kuoga, bafuni panabaki harufu fulani nzuri. Hata wewe muogaji, mwili unabaki na harufu za manukato, sio sabuni. Chakula wakipika, kinavutia hata kwa macho, Yaani kabla hata hujala, kinakupa hamu.

Kwenye kudekeza ndio balaa. Mimi ni mgumu, lakini ilifikia kipindi hadi nikaanza kujishangaa. Maana nikikutana nae nakuwa kama vile last born wake. Hata nikijiminya minya mguu kuwa unauma, akitoka nje, anarudi na beseni, naanza kukandwa miguu. Na umri huu nilionao, kuna baadhi ya siku nilikuwa naogeshwa.

Mimi ni miongoni mwa wale watu ambao miili yetu hainaga Shukrani, hata tule vipi, miaka yote ngozi inakuwa imebanana na mwili. Ila ndani ya miezi 3 tokea niwe nae niliongezeka kilo 5. Yeye anafanya kazi ya kunicheka tu kuwa nilikuwa nakula ovyo, sikuwa nakula vizuri.

Linapokuja suala la 6x6, pia wako na mpangilio. Binafsi katika mahusiano yangu mengi sinaga kawaida ya kujifosi sex, nikipiga round zangu 3, hiyo imetoka, sitoi jasho zaidi. Tena katika hizo round 3, round ya kwanza ndio huwa naifurahia to the maximum, sometime naweza hata kufumba macho wakati napiz, ila hizo zingine mbili ni Kwa ajili ya heshima tu, nisijekuitwa Mourinho, nafunga goli moja halafu napaki bus.

Ila kwa mabinti wa kitanga, wana uwezo wa kukupeleka mchaka mchaka watakavyo. Usiku mmoja unaweza kwenda goli nne pure, sio zile za kujifosi, ni zile ambazo raha unaipata tokea unapump hadi unamwaga, sio wakati wa kumwaga peke yake.

Siku zote ambazo nilikuwa nipo ovyo halafu sijiskii kusex, hizo ndizo siku alikuwa ananifanya nakuwa active kwa kadiri anavyotaka yeye. Mpaka leo hii naamini mwanamke ndio anadetermine idadi ya round anazoenda mwanaume kitandani. Sasa hawa wengine mkiingia ndani anajibinua, anatulia, then anategemea uende round 5.

Lafudhi yao haichoshi kusikiliza, shape zao kawaida, ila mikito yao ni next level. Binafsi nilikuwa addicted sana na mishangazi, kiasi kwamba mabinti wa rika langu walikuwa hawanipi stimu, sikuwa nawapa attention sana. Nilivyopigwa chini na lishangazi linaitwa Mwahija, ndio nikaangua kwa binti wa kitanga, kiufupi aliplay role kubwa sana mpaka nikaamua kuachana na mashangazi, ili nikomae na rika langu. Na tokea hapo, nimekuwa na badili makabila tu, ila sitoki nje ya mkoa huo, nikitoka kidogo narudi😅😅. Na Sina mpango wa kudate mashangazi tena, labda Mwahija akubali kunirudia au nimpate yule Mama ake Mariam, maana nae si haba.

Sema tatizo lao (mabinti wa kitanga), akikuacha maumivu yake ni kama vile umefukuzwa kazi au mstaafu aliyezudhulumiwa pension yake, hayavumiliki. Ukiwa na roho nyepesi unaweza omba msamaha hata kosa sio lako. Na ukienda Tanga kutafuta maisha, kama umeoa, unaweza telekeza familia yako.

Watanga wapo serious sana kwenye issue za mapenzi.
Wadigo oyeeeee
 
Fafanua hapa



Ni mfano inapotokea Mwanaume kufanya makosa ya obvious na pengine akakiri au kuwa na ushahidi wa wazi , badala ya kumdhalilisha mbele za watu na kumtangaza unazungumza nae na kumuonya ili ajirekebishe aache tabia mbaya.

Kwa kumfichia aibu yake hapo unakuwa umemsitiri.

Mwanaume mwingine akilewa anajikojolea saingine hata kitandani, mwanamke anatakiwa amfichie hiyo aibu Mpenzi au mume wake bila kumwambia mtu mwingine.

Wanaume wengine hawawezi kutia mshindo anashindwa kabisa, mwanamke anatakiwa kuzungumza na Mwanaume wake jinsi ya kumsaidia awe sawa au akubaliane na hali hiyo afanye maarifa yake nje kwa heshima na adabu hapo Pia atakuwa amemsitiri Mwanaume wake.

Je umeelewa?
 
Ni mfano inapotokea Mwanaume kufanya makosa ya obvious na pengine akakiri au kuwa na ushahidi wa wazi , badala ya kumdhalilisha mbele za watu na kumtangaza unazungumza nae na kumuonya ili ajirekebishe aache tabia mbaya.

Kwa kumfichia aibu yake hapo unakuwa umemsitiri.

Mwanaume mwingine akilewa anajikojolea saingine hata kitandani, mwanamke anatakiwa amfichie hiyo aibu Mpenzi au mume wake bila kumwambia mtu mwingine.

Wanaume wengine hawawezi kutia mshindo anashindwa kabisa, mwanamke anatakiwa kuzungumza na Mwanaume wake jinsi ya kumsaidia awe sawa au akubaliane na hali hiyo afanye maarifa yake nje kwa heshima na adabu hapo Pia atakuwa amemsitiri Mwanaume wake.

Je umeelewa?
Loud and clear
 
Halafu wanaume wa Tanga wakioa wanawake makabila ambayo si ya Tanga huwa wanakuwa na mambo ya kijingaaaa !

Huwa wanatawaliwa na wanawake zao.

Wanawasahau hadi wazazi wao mazima!

Watajenga ukweni na kwa mke kwao anakusahau halafu baada ya muda mke anaanza visa na kumfukuza Mwanaume!
Ili Sina uhakika nalo, ngoja waje kutoa ufafanuzi 😅
 
Hawafui dafu kwa wanawake wa kitanga hao!

Swala sio mauno feni peke yake lakini maswala kama vile upishi wa chakula kizuri, nyama ya ulimi, adabu na heshima kwa Mwanaume hayo utayapata kwa watanga tu hao wengine hawana [emoji108][emoji108]
Kumbe shoga angu we mdigo😂😂😂 Ndo mana ukapovuka ule Uzi wa kusifia wamakonde😂
Haya huko Tanga mmesoma Hadi wapi?🤣🤣🤣
 
Kwa wastani wanawake wa kitanga ndio wenye wanasifa zile wanaume wengi wanazipenda toka Kwa mwanamke (Mpenzi au mke).

1. Nyama ya ulimi (kauli njema).
2. Wanajua kumsikiliza Mwanaume
3. Wana adabu na heshima kwa Mwanaume, hata kama ameudhika kiasi kikubwa anajua kujizuia kumtukana Mwanaume Na kupitiliza.
4. Ni wakarimu kwa ndugu wa Mwanaume Na majirani.
5. Wanajua nini cha kufanya kitandani na Mwanaume
6. Mapishi wako vizuri, wanaume wote Duniani wanapenda kula vizuri. Na hapa ni eneo muhimu ambalo mwanamke akijielewa anaweza kuukamata moyo wa Mwanaume vizuri.
7. Wanajua Mwanaume ametukuzwa na vitabu vitakatifu hivyo yeye ni nani wa kumchukulia poa?!

8. N.k.
Nahisi huko kwa makungwi wao, wanafundishwaga mambo mengi sana
 
Back
Top Bottom