Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu yangu acha kabisa watu wa nyanda za juu kusini mambo ya mapish wahayajui, kubembelezahawajui yan tafran daaah... Maisha haya... Yule mtoto alikuwa ndani anashinda na mtandio unaoangaza ndani kavaa kufuli zuri yan akiwa anapika me nipo nyuma mashine isha simama, Itoshe kusema watu wa TA ni noma. Wenyewe wanasema mchele unalimwa mbeya wali unapikwa Tanga na ni kweli...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pole mkuu. Kuna siku ex boyfriend kaja na ndugu yake nikawapikia. Yule ndugu yake akawa anamwambia ex bf, aaah mura kumbe huku ndo unalishwa hivi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Hapo kwenye jikoni Tanga tuko vizuri
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Hakika wali unapikwa Tanga[emoji4][emoji4]Ndugu yangu acha kabisa watu wa nyanda za juu kusini mambo ya mapish wahayajui, kubembelezahawajui yan tafran daaah... Maisha haya... Yule mtoto alikuwa ndani anashinda na mtandio unaoangaza ndani kavaa kufuli zuri yan akiwa anapika me nipo nyuma mashine isha simama, Itoshe kusema watu wa TA ni noma. Wenyewe wanasema mchele unalimwa mbeya wali unapikwa Tanga na ni kweli...
alafu huyo wife material kabisaMcheki sophy27 [emoji12]
Nna nyota na hilo kabila bila shaka nawewe ni mfupiMm mbena utanga niupatie wapi Tena mbena wa ndani ndani huko😀
😀😀Nna nyota na hilo kabila bila shaka nawewe ni mfupi
Sisi wahehe tunasubiti uziwetu wa uvivu na kutojua kubembeleza[emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] swelagaaaaaPede veve umgayashida?
Na Nene ndimgayashida
Kamwene mgaya sida[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mm mbena utanga niupatie wapi Tena mbena wa ndani ndani huko[emoji3]
Waliokukia vijijini sawa.siyo hawa dot.comUnapozungumzia swala la ubishi, wapo watu wengi ambao ni wabishi, ila Waha ni exceptional. Ukizungumzia ubahiri, wengi ni wabahiri, ila Wapare ni special case. Ukigusa elimu, mikoa mingi inajitahidi, ila Wahaya ni special case.
Vivyo hivyo kwenye mapenzi, mafundi ni wengi sana, ila watu kutoka Tanga, swala la mapenzi wanalichukulia serious sana. Yeyote ambaye ashawahi date na wanawake wa kitanga anaweza akawa shahidi juu ya ili. Kabla sijawazoea, binti wa kitanga wa kwanza kudate nae, mambo mengi nilikuwa nashangaa.
Nilimuandalia chai, alivyomaliza kunywa akaniambia "Asante kwa kuninywesha maji ya makuti". Nikamuuliza kwann unaita maji ya makuti? Hakunijibu akacheka tu. Ila siku alivyokuja kunipikia chai ndio nilielewa. Chai yao unakunywa hata bila kuweka majani. Ikimiminwa kwenye kikombe inatoa harufu zinazovutia.
Maji ya kuoga alikuwa anayaweka udi na manukato fulani nimeyasahau jina, kiasi kwamba ukitoka kuoga, bafuni panabaki harufu fulani nzuri. Hata ww muogaji, mwili unabaki na harufu za manukato, sio sabuni. Chakula wakipika, kinavutia hata kwa macho, Yani kabla hata hujala, kinakupa hamu.
Kwenye kudekeza ndio balaa. Mimi ni mgumu, lakini ilifikia kipindi hadi nikaanza kujishangaa. Maana nikikutana nae nakuwa kama vile last born wake. Hata nikijiminya minya mguu kuwa unauma, akitoka nje, anarudi na beseni, naanza kukandwa miguu. Na umri huu nilionao, kuna baadhi ya siku nilikuwa naogeshwa.
Mimi ni miongoni mwa wale watu ambao miili yetu hainaga Shukrani, hata tule vipi, miaka yote ngozi inakuwa imebanana na mwili. Ila ndani ya miezi 3 tokea niwe nae niliongezeka kilo 5. Yeye anafanya kazi ya kunicheka tu kuwa nilikuwa nakula ovyo, sikuwa nakula vizuri.
Linapokuja swala la 6x6, pia wako na mpangilio. Binafsi katika mahusiano yangu mengi sinaga kawaida ya kujifosi sex, nikipiga round zangu 3, hiyo imetoka,sitoi jasho zaidi. Tena katika hizo round 3, round ya kwanza ndio huwa naifurahia to the maximum, sometime naweza hata kufumba macho wakati napiz, ila hizo zingine mbili ni Kwa ajili ya heshima tu, nisijekuitwa Mourinho, nafunga goli moja alafu napaki bus.
Ila kwa mabinti wa kitanga, wanauwezo wa kukupeleka mchaka mchaka watakavyo. Usiku mmoja unaweza kwenda goli nne pure, sio zile za kujifosi, ni zile ambazo raha unaipata tokea unapump hadi unamwaga, sio wakati wa kumwaga peke yake.
Siku zote ambazo nilikuwa nipo ovyo alaf sijiskii kusex, hizo ndizo siku alikuwa ananifanya nakuwa active kwa kadiri anavyotaka yeye. Mpaka leo hii naamini mwanamke ndio anadetermine idadi ya round anazoenda mwanaume kitandani. Sasa hawa wengine mkiingia ndani anajibinua, anatulia, then anategemea uende round 5.
Lafudhi yao haichoshi kusikiliza, shape zao kawaida, ila mikito yao ni next level. Binafsi nilikuwa addicted sana na mishangazi, kiasi kwamba mabinti wa rika langu walikuwa hawanipi stimu, sikuwa nawapa attention sana. Nilivyopigwa chini na lishangazi linaitwa Mwahija, ndio nikaangua kwa binti wa kitanga, kiufupi aliplay role kubwa sana mpaka nikaamua kuachana na mashangazi, ili nikomae na rika langu. Na tokea hapo, nimekua na badili makabila tu, ila sitoki nje ya mkoa huo, nikitoka kidogo narudi😅😅. Na Sina mpango wa kudate mashangazi tena, labda Mwahija akubali kunirudia au nimpate yule Mama ake Mariam, maana nae si haba.
Sema tatizo lao (mabinti wa kitanga), akikuacha maumivu yake ni kama vile umefukuzwa kazi au mstaafu aliyezudhurumiwa pension yake, hayavumiliki. Ukiwa na roho nyepesi unaweza omba msamaha hata kosa sio lako. Na ukienda Tanga kutafuta maisha, kama umeoa, unaweza telekeza familia yako.
Watanga wapo serious sana kwenye issue za mapenzi.
Nenda UKEREWE halafu njoo na idadi ya maPROFESSOR au RUVUMA. Ukigusa elimu, mikoa mingi inajitahidi, ila Wahaya ni special case.
💯🤝Siku zote ambazo nilikuwa nipo ovyo alaf sijiskii kusex, hizo ndizo siku alikuwa ananifanya nakuwa active kwa kadiri anavyotaka yeye. Mpaka leo hii naamini mwanamke ndio anadetermine idadi ya round anazoenda mwanaume kitandani. Sasa hawa wengine mkiingia ndani anajibinua, anatulia, then anategemea uende round