Kwenye suala la mapenzi, mabinti wa kitanga ni undisputed

Kwenye elimu, wahaya tuna elimu, wachaga wameishia kucrem tu
 
Tuko na Rais Kumsapoti kwenye tume ya Kutoa haki wewe unawaza mbunyenga??

Katiba Mpya kweli itapatikana?
 
Tuko na Rais Kumsapoti kwenye tume ya Kutoa haki wewe unawaza mbunyenga??

Katiba Mpya kweli itapatikana?
Umekosea jukwaa mkuu. Maswala ya katiba tunakutana nayo kwenye jukwaa la katiba au la siasa.

Huku ni mapenzi, mahusiano na urafiki.

πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Watanga mmerudi tena kujisifia eeeh?
 
Umekosea jukwaa mkuu. Maswala ya katiba tunakutana nayo kwenye jukwaa la katiba au la siasa.

Huku ni mapenzi, mahusiano na urafiki.

πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Jibu unalo sasa auntie [emoji1787][emoji1787] tukiachwa kama hatujaachwa na tukiacha kama hatujaacha wanapaita tanga sisi tunapaita nyumbani [emoji1787][emoji1787]
Nimecheka sana
 
Unasema kweli, watu wa mara wana akili sana



Halafu hawanaga mbwembwe wala mashauzi na majidai kama hao watani zao!

Na kwenye kazi hua wanapiga kazi hasa inayoweza kupimwa.

Na sio watu wa fitina na majungu!
 
Sifa zote hizo nikajua mwisho ukamuoa....kumbe unaendelea kubadili makabila.
 
lliwah kukuta mkuu?? mwanaume aliefanyiwa limbwata anajijua??
Dalili unaziona ila utaona ndo mapenzi utajiona unampenda sana na watu wa pembeni wanakuonea wivu..maana atakua juu yako na usiwe na cha kumfanya anakuendesha anakusaliti wazi wazi na huna cha kumfanya atadai vitu ambavyo huna uwezo nao ili tu akuendeshe na wewe utahisi ni mapenzi so utakaba uibe umfuraishe...kwa upande wangu nilipigwa la buku jero so nilishtuka mapema nkaona hapa nafanyiwa mchezo
 
Nimekuelewa master. Ndio maana nikawa nakazia kwenye matendo yao, maana kuhusu limbwata Sina uzoefu
Ni kawahda kua na tabia na mwenendo mzuri ila uo ni mwanzo tu ili usikurupuke ata akichomekea tabia za ovyo ovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…