Kwenye suala la mapenzi, mabinti wa kitanga ni undisputed

Nna mamu kama wa tano naowajua wanatokea tanga nambie sifa zake nijue ni yupi nikuunganishe nae[emoji28]
 
Kuna wamakonde wanatumia kisosi😀😀 yaani itasimama ty
 
Daah et kama yule jamaa wa kwenye jambo na vijambo [emoji28][emoji28]
 
Nlipata mtoto wa kitanga mmoja,one day ananipelekea maji chooni kwa ajili ya kutawadha baada ya kukata gogo,....imagine maji yana iriki iriki na mdalasini,nikajiuliza anataka matako yangu yanukie pilau nini?punguzeni mbwembwe watanga khaaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Binti wa kitanga humkuti anatoa harufu za ajabua ajabu. Wako smart sana. Niliwahi date nae mmoja kipindi niko kigamboni. Mashallah, binti Fatma alikua anajua mambo.

Ni wasafi, wanajua kuandaana, wanajua kuku motivate uendelee na game.

Ndio maana mtu mfupi Biz man na bwana misosi waliwatungia nyimbo kuwasifu.

Mabinti wa kitanga, mbarikiwe sana
 
University nimesoma na mtoto wa kitanga,niseme tu unachoongea ni kweli.
 
Um
Mimi nilipata dem wa kikuria akawa ananinolea panga, nikifika ananiambia babe nimekuandalia panga kwaajili ya kunipiga, nikikataa kumpiga analia anasema simpendi sina wivu na yeye
Umeanza uongo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…