Kwenye suala la misitu Tanzania ndiyo tulitakiwa tuwasaidie UAE, sio wao watusaidie sisi

Kwahiyo Waarabu walivyozinunua vilabu vikubwa vya mpira barani Ulaya PSG, Man City walikuwa wanataka kuwapeleka Waarabu wenzao wakawafundishe wazungu kucheza mpira ?
Au labda wanataka kuja kuiba misitu yetu waondoke nazo hahhahaaa..
Hoja zingine bana !
 
Waarabu pesa wanayo angalieni kufuturu wanayofanya sasa hivi kwa wachezaji wa ulaya, pia inaonekana Kuna mpunga mrefu sana ulimwagwa wakati wa kuwaamisha wakazi wa loliondo serikali ya Tanzania haina uwezo wa kufanya jambo kama like kwa pesa zake lazima waarabu walitoa fungu zito.
 
Kasome slave trade
 
Kwa mind hiyo ya viongozi wa nchi hii, uvivu na mambo mengine maendeleo hayawezi kupatikana maana viongozi wana low thinking capacity juu ya masuala ya uongozi japo ni viongozi
 
Kwa mind hiyo ya viongozi wa nchi hii, uvivu na mambo mengine maendeleo hayawezi kupatikana maana viongozi wana low thinking capacity juu ya masuala ya uongozi japo ni viongozi
Kiufupi ccm inabid watoke madarakan tu tofauti na Hapo tutafilisika
 
Hii miradi ya hewa ya ukaa tunaibiwa sana...

Hao ni madalali tu kuna mmoja kawekeza Mpanda Simanjiro na Mbulu ni wizi tu...TUAMKE
 
Kwa taarifa yenu Waarabu wana elimu na rasilimali za kutosha katika eneo la udhibiti na uendelezaji wa rasilimali ikiwemo misitu. Waarabu na Waisraeli wapo kwenye mikakati kabambe ya kulibadilisha jangwa kuwa eneo la kijani na mipango hiyo wameianza kitambo. Hata hawa wanyama wanaowachukua huku wanawapeleka kwenye mbuga walizozitengeneza. Wana maji ya kutosha kule jangwani wanayoyatumia kwenye kilimo na mambo mengine. Msiwachukulie poa kabisa eti mkadhani mpo nao levo moja.
 
Ingekuwa wamepewa Waisraeli ambao nao wako jangwani tusingehoji. Hii nchi ina ubaguzi na udini wa hatari sana.
 
mikataba 17 unasaini na waarabu pekee hapo mwanzilishi wa hoja ya udini ni nani kama sio nyie?
Hebu hesabu na mikataba tuliyosaini na Wazungu toka uhuru halafu linganisha na hiyo ya Waarabu inayowatoa macho halafu niambie mikataba yetu na Wazungu imetunufaisha nini toka uhuru. Kuna mwaka alipofika Rais wa China hapa nchini tulisaini mikataba karibu ishirini ndani ya siku moja tu lakini hatukusikia hizi kelele. Acheni udini na chuki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…