Kwenye suala la misitu Tanzania ndiyo tulitakiwa tuwasaidie UAE, sio wao watusaidie sisi

Hawa waarabu naona watapewa kila kitu, Hawa jamaa kibongobongo tunasema upepo upo upande wao... Ngoja inyeshe zaidi tutaona mengi nahisi
 
kwahiyo na nyie mkaona mlete waarabu ili nchi izidi kuishia sio....mko kwenye mashindano eeeh....halafu nyie ndio mbaya zaidi kwa sababu mmeweka udini kwa hiyo nyinyi ndio mmeanzisha mambo ya udini
 
Ni UJINGA tu hakuna kingine.Wajinga wakiwa ofisin lzm nchi iwe kwenye ngonjela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…