Kwenye taarifa ya wapiga kura Cameroon, picha moja inayoonekana ya mpiga kura ni ya Mo Salah

Mzee baba si atoke au anataka mambo ya Mnagagwa?!
 
Wabongo na elimu ya mtandao bado sana
Wanafeli kwenye vitu vidogo sana kuamini...
 
Huyo wa chini picha ya Meek Mill mmarekani ..πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…