Kwenye timu ya taifa bado tunasafari ndefu

Kwenye timu ya taifa bado tunasafari ndefu

BEDUI Jr

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2016
Posts
2,041
Reaction score
2,846
Kama kiongozi wa ngapi ya juuu tena katika tumu zetu mbili pendwa ana post huu ujinga basi tuna safari ndefu katika timu yetu ya taifa,

Screenshot_20220823-211220.png
 
We ulitaka aseme Wangapi..? Ni Ukweli ameupugia Mstari tu....! Siku Uto wakitoa Tisa pia itasemwa.
 
We ulitaka aseme Wangapi..? Ni Ukweli ameupugia Mstari tu....! Siku Uto wakitoa Tisa pia itasemwa.
Hapo viongozi wa Yanga hawajaongea kua Mechi za mzunguko wa kwanza wachezaji wao ndio wameifusha Staz

Fa3p1LoXgAAxtz7.jpeg.jpg
 
Hayo masononeko ya mleta mada nilijuwa yahusu kiongozi wa TFF.

kumbe Babbra Gonzales.


Utopolo FC punguzeni makasiriko
 
Shida inakuja pale Mpenzi wa mtu Kuja kukabidhiwa kuwa CEO wa mpira wa miguu[emoji3][emoji2][emoji2]
 
Acheni kulalama mlitaka aisemee utopolo yenu? Yy ni Simba na anafurahia vijana wake. Mnajua siku si nyingi mtaokota makopo yani sasa huku mnapokwenda mtakua machizi kabisaa.
 
Nyie mnaendaga airport kupokea team zinazokuja kucheza na simba ulimsikia kiongozi gani au mchezaji gani wa simba analalamika yaani utopolo akili kweli hamna dish zimeyumba zote.
 
We ulitaka aseme Wangapi..? Ni Ukweli ameupugia Mstari tu....! Siku Uto wakitoa Tisa pia itasemwa.
tutahesabu wachezaji wangapi wa Yanga watacheza hiyo mechi ya Uganda na Simba watacheza wangapi!

Kuitwa timu ya Taifa sio kucheza mechi wengi wamewahi kuitwa na hawakuwahi kucheza, kutoka Yanga wanaocheza mechi huwa ni Nondo, Job, Kibwana, Feisal, Sureboy na Farid, hesabu wangapi hao out of 11 players uwanjani? Taja wachezaji wa Simba wanaopangwa nimewasahau majina!!

Barabara anajifariji tu kama Makolo FC wengine hamna cha kuonesha kwa kupokwa makombe yote msimu uliopita na kupasuliwa na Yanga mfululizo tena mlisema Inonga anaweza kumkaba Mayele this time Mayele kaonesha Inonga bado ni wa ndondo kapu goli mbili safi mbele yake hasira zake kumshindwa Mayele akamrukia "kick boxer" Sureboy

Tunawakumbusha tobo alilopigwa Tshabalala na Aziz Ki na Mayele angefunga mngekula goli tatu safi na mechi ingeishia pale mwenye video yake tupia hapa!

Kama kawaida tunawasubiri mjae tena hapo October tuwapasue tena na kuchukua usukani wa ligi hadi mwisho!! Kolo FC gani anabisha? nyoosha kidole!!
 
Back
Top Bottom