tutahesabu wachezaji wangapi wa Yanga watacheza hiyo mechi ya Uganda na Simba watacheza wangapi!We ulitaka aseme Wangapi..? Ni Ukweli ameupugia Mstari tu....! Siku Uto wakitoa Tisa pia itasemwa.
Alipaswa afanyaje?Huyu madam kakosea. Haikupaswa kufanya hivo.