Kwenye tukio la kigogo wa Equatorial Guinea nimeamini hiki kizazi sio cha kufunga ndoa

Kwenye tukio la kigogo wa Equatorial Guinea nimeamini hiki kizazi sio cha kufunga ndoa

Status
Not open for further replies.

Teslarati

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2019
Posts
2,621
Reaction score
10,466
Kuna muda ukweli usemwe. Ndoa sio tena swala valid kwa miaka hii. Kama issue ya malezi ya watoto ni bora kutafuta njia nyingine ila sio ndoa.

Hebu fikiria wake za watu wanaliwa ofisini, beach, nk... wakiwa na furaha kabisa huku wakikubali kurekodiwa na kutoa ushirikiano wa hali ya juu kabisa.

Na sio wake wa masikini bali wengine ni wake wa vibopa hadi mageneral wa jeshi na ni wake wa ndoa.

Na jamaa hakuwa akitumia condom na anapizi ndani. Hahahahaa kuna watoto wa majamaa wengi sana kwenye ndoa za watu na sijui hiko hakunaga Ukimwi.

Kuna watu wanasema jamaa alitaka kuzitumia video kufanya blackmailing, mimi nakataa, ile ni hulka yao tu kulana na kurekodiana na ndo maana warekodiwa walikua wanafurahi sana.

Ndoa ni old solution, najua kuna watu mtakuja na matusi lakini ukweli upo wazi, na kibaya ni kwamba ukweli ukiukataa basi utakuumbua siku moja.

Jitahidi sana mahusiano yako yawe short term na usiwe invested sana, tafuta kitu kingine cha kukupa furaha. Hebu fikiria wewe ndio yule general alogongewa mke wake ofisini na jamaa.
 
Inafikirisha sana Mkuu

IMG_20241105_095431_947.jpg
 
Yalikuwepo toka enzi za Yesu, sema siku hizi teknolojia inafanya yatoke public..

Manabii kibao wa kwenye bible walilala na vijakazi wao plus wanawake wa wengine, unadhani kwa dunia ya sasa kuna tofauti?

Its just a vicious cycle, yataendelea kujirudia yaleyale.

Ukiogopa kuoa ama kuolewa, ni juu yako wewe na ukoo wako, acha sisi tuendelee kuenjoy life la ndoa.
 
Kama haukumkuta bikra huyo ni malaya

Hakuna mwanaume yoyote duniani aliyefanikiwa kumgeuza malaya kuwa mke

She will NEVER change. A hoe is a hoe

Ndoa haijawahi kumbadilisha malaya aache kugawa K

Kwa miaka hii options ni mbili tu; chagua uoe malaya au ubaki single. Na ukioa oa at your own risk

Learn or Perish


Mzee wa kupambania njoo na ule msemo wako uwasanue wanetu
 
Kwa miaka hii options ni mbili tu; chagua uoe malaya au ubake single. Na ukioa oa at your own risk

Learn or Perish
This makes sense coz wanawake wengi wanaolewa wakiwa sio bikra, na kama sio bikra basi kafanya umalaya. Kama kafanya umalaya basi yy ni malaya.

Hence it's mathematically correct kusema OA Malaya au baki single.
 
Kiukweli jamaa angetoa dawa alioitumia tungeinunua sana
Siyo dawa, hata wewe ukiamua leo unaweza, lakini kwa njia ya kutumia rasilimali pesa.

Yaani sharti upange bajeti kubwa kwa ajili ya mambo hayo kuliko bajeti ya maendeleo yako ama ya kutunzia familia.

Kazi hiyo wasakizie makuwadi, uone utakavyogongewa hodi hata bila ya kujishughulisha kutongoza.
 
Hata bongo mabosi kama jamaa wapo wengi sana kula wafanyakazi wenzao tena wake za watu.
Ishawahi nikuta hii... Kipindi fulani wakati nafanyia private sector kuna dada mmoja mke wa mtu nlianzisha mahusiano naye... Kuna mmama staffmember mwenzetu akajua baada ya kutuona engo fulani tumetoka kugegedana.

Siku ya pili akanifata naye nikamgegede lasihvo atatoa siri, nikasema isiwe kesi nikamramba naye.

Baada ya km mwezi hv kupita kuna mmama mwingine naye akawa anajirahisisha... Nikaona huu sasa ni mkosi, nikaomba kuacha kazi na kuondoka kabisa katika mkoa huo
 
Kuna muda ukweli usemwe. Ndoa sio tena swala valid kwa miaka hii. Kama issue ya malezi ya watoto ni bora kutafuta njia nyingine ila sio ndoa.

Hebu fikiria wake za watu wanaliwa ofisini, beach, nk... wakiwa na furaha kabisa huku wakikubali kurekodiwa na kutoa ushirikiano wa hali ya juu kabisa.

Na sio wake wa masikini bali wengine ni wake wa vibopa hadi mageneral wa jeshi. Na ni wake wa ndoa.

Na kwa clips zote nilizoona jamaa wala hatumii condom na anapizi ndani. Hahahahaa kuna watoto wa majamaa wengi sana kwenye ndoa za watu. Na sijui hiko hakunaga Ukimwi

Kuna watu wanasema jamaa alitaka kuzitumia video kufanya blackmailing, mimi nakataa, ile ni hulka yao tu kulana na kurekodiana na ndo maana warekodiwa walikua wanafurahi sana.

Ndoa ni old solution, najua kuna watu mtakuja na matusi lkn ukweli upo wazi, na kibaya ni kwamba ukweli ukiukataa basi utakuumbua siku moja.

Jitahidi sana mahusiano yako yawe short term na usiwe invested sana, tafuta kitu kingine cha kukupa furaha. Hebu fikiria ww ndo yule general alogongewa mke wake ofisini na jamaa.
Siyo kweli kwamba hoja zote za Watu wa kampeni ya 'kataa ndoa' hazina mashiko, sometimes zipo baadhi ya hoja zao zina mashiko.
 
mda mwingine muwafikiirue wanawake,jamaa inasemekana kaoa na ana watoto 6
Fikiria huyo mkewe anajiskiaje Kwa hii aibu?
Halafu Nini mkioa muwe mnaangalia mwanamke/mwanaume anaejitambua.
Sa nyie endelewni kunagalia makalio makubwa na naa sehemu za Siri kubwa mtaendelea kulia
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom