Kwenye tukio la kigogo wa Equatorial Guinea nimeamini hiki kizazi sio cha kufunga ndoa

Kwenye tukio la kigogo wa Equatorial Guinea nimeamini hiki kizazi sio cha kufunga ndoa

Status
Not open for further replies.
Kanikumbusha enzi za Kamanda Lyumba naye aliwakomesha sana wakubwa aliwatombea sana tena wengine alichanganya mama na binti, imagine mtu anakukazia wife wako na binti yako.
Hebu tupe huu mkasa in full mkuu, ukipendezwa fungulia kabisa uzi

Si ndo yule wa BOT alokua anagawa rav4 nyekundu?
 
Sijui ni Maafisa wangapi hii ni alarm kwa waliyo yafanya ofisini .. kwamba ni huyo tu hapana tena kwa raha ya vyeo kupaa
 
Kwasababu hiyo basi….. Kitu kinachoitwa umalaya hakitakaa kiishe. Tuache lawama tuendeleze game!

Kama mwanaume anasifiwa umalaya maana yake inamtia moto kuendeleza umalaya, atafanya umalaya na nani??? (Hii argument ilianzia huko juu)
Malaya ni mwanamke, mwanamme ni rijali.

Tatizo lenu 50/50 inawalemaza na kudhani sifa za mwanamme ni sawa na sifa za mwanamke.

Kuna sifa ambazo ni za mwanamke ambazo mwanamme Hana na Kuna sifa za mwanamme ambazo mwanamke Hana.

Malaya ni sifa ya mwanamke.
Rijali ni sifa ya mwanamme.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom