Kwenye tukio la kigogo wa Equatorial Guinea nimeamini hiki kizazi sio cha kufunga ndoa

Kwenye tukio la kigogo wa Equatorial Guinea nimeamini hiki kizazi sio cha kufunga ndoa

Status
Not open for further replies.
Daaah kwakweli baby wangu huyu amekuja kipindi kibaya, akitoboa anatakiwa akatoe zaka nono kwa Mungu wake.
Maana kila nikiweka mipango mizuri juu yake kichwani nakutana na kasheshe mpya kila kukicha
 
Ishawahi nikuta hii... Kipindi fulani wakati nafanyia private sector kuna dada mmoja mke wa mtu nlianzisha mahusiano naye... Kuna mmama staffmember mwenzetu akajua baada ya kutuona engo fulani tumetoka kugegedana.

Siku ya pili akanifata naye nikamgegede lasihvo atatoa siri, nikasema isiwe kesi nikamramba naye.

Baada ya km mwezi hv kupita kuna mmama mwingine naye akawa anajirahisisha... Nikaona huu sasa ni mkosi, nikaomba kuacha kazi na kuondoka kabisa katika mkoa huo
Basi kazi zilikuwa kibwena sana ama ulikuwa ukifanya part time job.

Ajira kabisa watu wanavyozisotea hadi rushwa, eti wewe uje uache kazi kisa kupendwa na malaya!

Penye uongo ukweli hujidhihirisha.
 
Unapoteza muda wako tu boss, bora ukimbize upepo kuliko kushauri wanaume waoaji, wasioe, Wataoa tu hata kutokee nini, ndoa zitafungwa tu.
images - 2024-11-05T160330.717.jpeg
 
Kuna muda ukweli usemwe. Ndoa sio tena swala valid kwa miaka hii. Kama issue ya malezi ya watoto ni bora kutafuta njia nyingine ila sio ndoa.

Hebu fikiria wake za watu wanaliwa ofisini, beach, nk... wakiwa na furaha kabisa huku wakikubali kurekodiwa na kutoa ushirikiano wa hali ya juu kabisa.

Na sio wake wa masikini bali wengine ni wake wa vibopa hadi mageneral wa jeshi. Na ni wake wa ndoa.

Na kwa clips zote nilizoona jamaa wala hatumii condom na anapizi ndani. Hahahahaa kuna watoto wa majamaa wengi sana kwenye ndoa za watu. Na sijui hiko hakunaga Ukimwi

Kuna watu wanasema jamaa alitaka kuzitumia video kufanya blackmailing, mimi nakataa, ile ni hulka yao tu kulana na kurekodiana na ndo maana warekodiwa walikua wanafurahi sana.

Ndoa ni old solution, najua kuna watu mtakuja na matusi lkn ukweli upo wazi, na kibaya ni kwamba ukweli ukiukataa basi utakuumbua siku moja.

Jitahidi sana mahusiano yako yawe short term na usiwe invested sana, tafuta kitu kingine cha kukupa furaha. Hebu fikiria ww ndo yule general alogongewa mke wake ofisini na jamaa.
Unaweza kuhisi labda jamaa alikuwa anatumia nguvu za giza katika ushawishi wake
 
images - 2024-11-05T160941.306.jpeg

Wanawake hawaogopi tena kuikosa ndoa hata aharibike vipi, wanajua hata wawe malaya, wanachopaswa kuhakikisha ni wawe wazuri baasi, wanajua as long as ni wazuri wataolewa tu bila kujali historia yao.
Sasa Kama hadi hawa wanachumbiwa unadhani nini kitazuia watu kuoa? Ndoa zitaendelea kufungwa tu.
 
Ishawahi nikuta hii... Kipindi fulani wakati nafanyia private sector kuna dada mmoja mke wa mtu nlianzisha mahusiano naye... Kuna mmama staffmember mwenzetu akajua baada ya kutuona engo fulani tumetoka kugegedana.

Siku ya pili akanifata naye nikamgegede lasihvo atatoa siri, nikasema isiwe kesi nikamramba naye.

Baada ya km mwezi hv kupita kuna mmama mwingine naye akawa anajirahisisha... Nikaona huu sasa ni mkosi, nikaomba kuacha kazi na kuondoka kabisa katika mkoa huo
Kumbe wanaambiana Hawa viumbe ukimgegeda mmoja vizuri...aisee inaelekea jamaa umipiga show hatari eeh
 
This makes sense coz wanawake wengi wanaolewa wakiwa sio bikra, na kama sio bikra basi kafanya umalaya. Kama kafanya umalaya basi yy ni malaya.

Hence it's mathematically correct kusema OA Malaya au baki single.
Haiwezekani kutengeneza chemistry na mwanamke mwenye flashback ya kufanya sex na wanaume wengi kabla yako.

Kila siku tunasisitiza hapa oa bikira watu wanatupinga.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom