Kwenye tukio la kigogo wa Equatorial Guinea nimeamini hiki kizazi sio cha kufunga ndoa

Kwenye tukio la kigogo wa Equatorial Guinea nimeamini hiki kizazi sio cha kufunga ndoa

Status
Not open for further replies.
Wanawake ndio tunapaswa kuwa kataa ndoa nambari 1, Mtu amekuoa halafu analala na wanawake nje 400 plus!

Tumuweke mwanamke mwenzetu kwenye maombi, WTF!
Dada yangu unamfikiria mtu mmoja,
Vp wanaume ambao wake zao ambao jamaa kapita nao? au tuwaache wapambane na hali yao....... au ndio mwanaume kaumbiwa mateso.

Siyapatii maumivu wanayo ya pitia jamaa walio gongewa na ubaya hizi clip zipo mitandaoni na hazitokuja kufutika daima.
 
Wapo wanawake waaminifu bado, shida ni selection nadhani kinachotugharimu siku hizi ni kuangalia shape za hao wanawake, mwanamke mwenye chura kila mwanaume anakodolea macho hapo, tubadilishe vigezo vya mke wa kuoa.

Lakini pia kuna mtazamo umeibuka kwamba mwanamke anataka pesa tu, kwa hizo video utaona hao walioliwa wanapesa, wana nafasi kubwa katika nchi na bado wameliwa vile vile, pesa haimtulizi mke au mwanamke, ambao tuko Bize kutafuta pesa kwa ajili ya mwanamke tunajitesa bure, tutafute pesa kwa ajili mipango na maendeleo yetu sio kumtuliza mwanamke. Mwanamke kutulia anaamua mwenyewe kwa utashi wake, hao wake wa vigogo ndoa hakuna tena wanarudi mtaani kudanga, lakini heshima yao imeshuka kwenye jamii kama walikuwa wanaonekana mahili au mifano ya kuigwa tayari hawawezi tena kuwa na ule ushawishi
 
Yalikuwepo toka enzi za Yesu, sema siku hizi teknolojia inafanya yatoke public..

Manabii kibao wa kwenye bible walilala na vijakazi wao plus wanawake wa wengine, unadhani kwa dunia ya sasa kuna tofauti?

Its just a vicious cycle, yataendelea kujirudia yaleyale.

Ukiogopa kuoa ama kuolewa, ni juu yako wewe na ukoo wako, acha sisi tuendelee kuenjoy life la ndoa.
Daudi alikula mke wa kamanda wake wa jeshi. Ibrahimu alikula mjakazi wake. Kuna yule alilala na msichana wake wa kumzaa . Sijui anaitwa nani. It is vicious cycle.
 
Ishawahi nikuta hii... Kipindi fulani wakati nafanyia private sector kuna dada mmoja mke wa mtu nlianzisha mahusiano naye... Kuna mmama staffmember mwenzetu akajua baada ya kutuona engo fulani tumetoka kugegedana.

Siku ya pili akanifata naye nikamgegede lasihvo atatoa siri, nikasema isiwe kesi nikamramba naye.

Baada ya km mwezi hv kupita kuna mmama mwingine naye akawa anajirahisisha... Nikaona huu sasa ni mkosi, nikaomba kuacha kazi na kuondoka kabisa katika mkoa huo
Ni mkoa gani huo mkuu!
 
Vijana acheni Uoga,

Alishawaambia Bwana Rich Mavoko kuwa , "Siku hizi Ujanja , Kuchapiwa ni Siri ya ndani" , So ukichapiwa tulia tu maisha yakwende
 
Kuna muda ukweli usemwe. Ndoa sio tena swala valid kwa miaka hii. Kama issue ya malezi ya watoto ni bora kutafuta njia nyingine ila sio ndoa.

Hebu fikiria wake za watu wanaliwa ofisini, beach, nk... wakiwa na furaha kabisa huku wakikubali kurekodiwa na kutoa ushirikiano wa hali ya juu kabisa.

Na sio wake wa masikini bali wengine ni wake wa vibopa hadi mageneral wa jeshi. Na ni wake wa ndoa.

Na kwa clips zote nilizoona jamaa wala hatumii condom na anapizi ndani. Hahahahaa kuna watoto wa majamaa wengi sana kwenye ndoa za watu. Na sijui hiko hakunaga Ukimwi

Kuna watu wanasema jamaa alitaka kuzitumia video kufanya blackmailing, mimi nakataa, ile ni hulka yao tu kulana na kurekodiana na ndo maana warekodiwa walikua wanafurahi sana.

Ndoa ni old solution, najua kuna watu mtakuja na matusi lkn ukweli upo wazi, na kibaya ni kwamba ukweli ukiukataa basi utakuumbua siku moja.

Jitahidi sana mahusiano yako yawe short term na usiwe invested sana, tafuta kitu kingine cha kukupa furaha. Hebu fikiria ww ndo yule general alogongewa mke wake ofisini na jamaa.
Sahihi kabisa
 
Duh! Hiv hizi connection mnazipataje?
20241104_141044.jpg



 
Kwanini ununue ng'ombe mzima wakati ukitaka nyama zipo Tele Buchani zimejaa
 
Dada yangu unamfikiria mtu mmoja,
Vp wanaume ambao wake zao ambao jamaa kapita nao? au tuwaache wapambane na hali yao....... au ndio mwanaume kaumbiwa mateso.

Siyapatii maumivu wanayo ya pitia jamaa walio gongewa na ubaya hizi clip zipo mitandaoni na hazitokuja kufutika daima.
Hapana Joseph, Huu mjadala umeanza toka jana, nimeshasema sana kuhusu hao waume zao , sio tu waume; ndugu jamaa na marafiki.

Sasa mimi concern yangu ikawa ni namna ambavyo wanaume wanampraise huyo jamaa na kuwabana hao wanawake. Naelewa concern yao kuwa hawa ni wake za watu, lakini mume ambaye ni mume wa mtu ameondolewa makosa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom