SI KWELI Kwenye ukurasa wa Lema wa X (Twitter) ameandika Mbowe na mwanae wasusa CHADEMA, wagoma kumpa vifaa Lissu kwaajili ya mapokezi ya singida Februari 15

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Lema hajaandika hayo. Ni uongo wa watu wasiomtakia mema Lissu. Ni fake news.
 
Vifaa ni mali ya nani? Chama au james?
 
Juma juma again.
Juma juma ndiye aliyeleta taarifa ya uongo na kudanganya inatoka kwenye ukurasa wa X wa Maria Sarungi jana kuwa Mwenyekiti wa Chadema amepata ajali mbaya.

Mpuuzeni huyu itakuwa ni kitengo cha propaganda wa chama cha mboga mboga.
 
Sasa si vifaa ni vya kwao ! Nunueni vya kwenu au?

Lema nunueni vifaa vya mikutamo mtoto wa Mbows, kosa lake lipi hapo?
 
Attachments

  • IMG_2604.jpeg
    590.5 KB · Views: 1
Hadi unapoona wanalalamika mitandaoni, ujue vifaa vina umuhimu, tena mali ya familia. Sasa kama kweli akina Lema wanajenga taasisi isiyomtegemea mtu mmoja mmoja, kulikuwa na haja gani ya yeye kupost malalamiko hayo? Mwambieni Lema aache ujinga
Hujaona jamii check imekanusha kuwa habari nzima ni ya uwongo? Kuna mashetani punguani yameitengeneza hiyo habari yakitarajia watu wenye akili ndogo wataamini.

Kataa, usiwe miongoni mwa wenye akili ndogo waliolengwa.
 
Kwanza Lema uwe na adabu. Pili sio kazi ya watoto wa Mbowe kutoa vifaa vyao vya muziki kwa ajili ya chama, chama kijitegemee!
Hujaona jamii check imekanusha kuwa habari nzima ni ya uwongo? Kuna mashetani punguani yameitengeneza hiyo habari yakitarajia watu wenye akili ndogo wataamini.

Kataa, usiwe miongoni mwa wenye akili ndogo waliolengwa.
 
Hali ya kifedha ndani ya Chadema ni tete. Hata kukodi spika za kufanyia mikutano imekuwa ngumu.

Huyu lema aandike hivi? Kwanini wasiongee huko ndani kwa ndani.

Ukute vyombo vyenyewe siyo vyao
 
Huyu lema aandike hivi? Kwanini wasiongee huko ndani kwa ndani.

Ukute vyombo vyenyewe siyo vyao
Fake hiyo. Lema hajaandika hivyo.

Kwanza mtoto wa Mbowe mwenye kesi mahakamani sio James. Akili za CCM za hovyo mno.
 
Sasa si vifaa ni vya kwao ! Nunueni vya kwenu au?

Lema nunueni vifaa vya mikutamo mtoto wa Mbows, kosa lake lipi hapo?
Hata wewe unaingia kwenye upuuzi huu wa fake news?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…