Kwenye ulimwengu wa roho, Simba 1 Yanga 3

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
Mechi ya tarehe 19

Ambayo itaikutanisha miamba ya Kariakoo yaani Simba na Yanga

Mechi imechezwa na imemalizika tayari ampabo Yanga amefunga magoli matatu ya Prince Dube dk ya 17, Azizi ki dk 39 na Duke Abuya dk ya 76. Goli pekee la Simba limefungwa na Ngoma

Tumepambana kwenye ulimwengu wa roho kubadilisha japo Simba apate sare imeshindikana.

Matokeo yako ivo,

Wengine subiri marudio ila ukweli ni kwamba game imeisha na mnyama kanyolewa

Poleni mtani Simba kwa kipigo cha 5 mfululizo
 
Amka uondolewe mwiko
 
Zinatuliwaza we unasema zinaleta changamoto ya afya ya akili!!..siasa ndiyo zinaleta changamoto ya afya ya akili,jua kali watu wana makoti
Hujui tu Mkuu Mwaka jana kuna sister Mume wake aliuwawa kwa sababu ya hizi timu, yaani ushabiki wa Simba na Yanga ni zaidi ya Vita vya Urusi na Ukraine
 
Sema simba nayo awamu hii imekua na viongozi mizigo haiwezekani utopolo waifunge team ×3 mfululizo na huenda jumamosi ikawa ya nne sijui sikuizi mashabiki wasimba nao wamekua midebwedo wataishia kuambiwa mpira ni matokeo matatu ligi ni defu tutajupanga ubaya ubwele afu wanaishia kucheka cheka tu
 
Mimi nimeona Simba 3 amphibia 0
 
Simba 19+19=38/2=19 na Yana 25+19=44/2=22

Zote zinagawanyika kwa 2, ni uwezekano mkubwa wa droo

Tukienda Mpaka herufi ya 3, Yanga ana asilimia kubwa ya kupoteza
 
Simba 19+19=38/2=19 na Yana 25+19=44/2=22

Zote zinagawanyika kwa 2, ni uwezekano mkubwa wa droo

Tukienda Mpaka herufi ya 3, Yanga ana asilimia kubwa ya kupoteza
Si kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…