A
Anonymous
Guest
Mimi nilienda kufanya usaili wa TA tarehe 14.03.2026 nilikuwa shortlisted kwenye mfumo na sifa ilikuwa ni Degree ya HRM sasa nilipo fika nilikuwa na cheti cha degree na transcript, cheti cha form four, cheti cha kuzaliwa, na kitambulisho.
Baadae akasema anataka na vyeti vya Ngazi ya chini nikampa cheti cha Diploma ambacho sasa sio Diploma ya HRM ilikuwa ni procurement. Baadae akasema eti nimpe cheti cha certificate nikasema sina akanifukuza kwenye usaili.
Sasa jamani nauliza mmeniita kwenye usaili na sifa ni Degree kutokuwa na cheti cha level 4 ndio iwe sababu ya kunifukuza Kwenye usaili wakati vyeti vya kazi husika nimefika navyo eneo la usaili naomba Serikali iingilie ili jambo jamani sio sawa.
Kama kazi ni ya degree na mtu kafika na vyeti vyake vya degree afanye usaili sasa unaanza kumfukuza mtu eti kisa hana cheti cha level 4 wakati wakati vyeti vinavyohusiana na kazi husika amefika navyo jamani.
Niliumia sana.