Kwenye Utawala wa awamu ya 5 Bashiru Ally na wateule wengine wa Rais walijipa Utukufu kuliko hata Mitume wa Mungu

Mkuu heko sana, tena unavyokoleza na picha unafikisha ujumbe vizuri. Upatapo nafasi weka na video ili tuwe tunakumbushana vizuri na kuelimishana zaidi!
 
sasa hapo mimi wa shule za udongo nitaelewa kweli ?
tulisoma na chairman public administration kule uingereza, chairman ana confidence ila ana misamiati michache πŸ’

huwa anatamani kumwaga ung'eng'e mwingi sana, wenye slang, phonology na syntax nyingi sana, lakini ngoma inagoma,
anaishia which which kibao πŸ’

si unajua tena kugundua umuhimu wa shule utu uzimami πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…