Kwenye Vita ya Uchaguzi CCM wameshachagua nini wanatoa kafara

puza46b

Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
91
Reaction score
261
Wakati wa vita wakuu wa majeshi hufanya maamuzi magumu mojawapo likiwa ni kutoa kafara maeneo au kikosi fulani ili iwasaidie kushinda vita. Kwa kifupi wanaachia washindwe mapambano wakijua watashinda vita.

Mfano wa kihistoria:
  • Vita kuu ya pili ya dunia, Warusi waliwaruhusu wajerumani( Nazi) wawasukume nyuma kilometer 2800 mpaka wakakaribia Moscow. Kiongozi wa jeshi wa wajerumani Bock alidhani Urusi wanakaribia kushindwa akawa anaendelea kuwafauta. Akasahau baridi ya Urusi ilivyo kali. Hiyo baridi ikazuia wao kupata vifaa na mahitaji muhimu ya kivita na wakawa wamekwama (hawaendi mbele na hawezi rudi nyuma kwa amri ya hitler). Mwisho wake wanajeshi 780,000 wa kijerumani walikufa sawa na 23% ya jeshi lilovamia Urusi. Warusi walitumia ujanja huu pia pale walipovamia na Napolean miaka ya 1814.
  • Kwa warusi Stalingard ilikuwa ndo mstari mwekundu wao kwamba hawakuwa tayari kutoa kafara hapo na walipoteza mamilioni ya warusi kulinda mji mmoja.
Kwenye uchaguzi huu CCM imeamua kutoa kafara ya mawasiliano ya mitandao. Wako tayari wapinzani wapige kelele kwenye twiter, youtube jamii forum nakadhalika lakini wabaki huko huko kwenye mitandao. Ushahidi ni huu:
  • Sheria ya mitandao na kushitaki waasisi wa jamii forum ni changa la macho. Hii imewapumbaza wapizani kuwa CCM inachukia mitandao ukweli ni kwamba wanapenda muendelee na kelele za mitandao kwa sababu haiwaumizi. Mfano mzuri jamii forum, ni watu wangapi wanasoma mada moja? Ukipata jibu linganisha na idadi ya wapiga kura Tanzania. Na wameshasema, kikombe cha sukari hakibadili ladha ya bahari.
  • CCM wameshachagua mstari mwekundu wao, CCM kamwe hawataruhusu wapizani watumie redio kufikisha ujumbe wao. Vitisho walivyopewa Clouds FM na barua ya Fadio Free Africa inaonyesha wapi haswa CCM wanaogopa wapinzani wasiongee. Clouds walifuatwa na silaha!!
  • Mnaona jinsi ambavyo kwa sasa habari za upinzani haziwekwi kwenye radio, magazeti na luninga. CCM wanajua nini wanafanya
  • Sheria ya kuweka marekebeshi ya vyombo vya habari vya kimataifa siyo bahati mbaya. Wanaogopa ujumbe usiingie kwenye radio.
Ni kwanini Radio ndo mstari mwekundu:
  • Radio ni chombo chenye nguvu sana. Wahutu walitumia radio kutengeneza chuki dhidi ya watusi. Waliwaita watusi mende, yaliyotokea tunayajua.
  • Wajerumani pia walitumia redio propaganda kuwanyanyasa wayahudi. Matokeo yake wayahudi millioni 6 wakauwawa. Somo kuu la vita kuu ya pili ya dunia ni nguvu ya redio. Wayahudi walijifunza na wamehakikisha wameshikilia vyombo vya habari vya mataifa makubwa duniani (CNN, FoX news etc).
  • Radio inamfikia karibia kila mpiga kura, kwa haraka.
Sasa basi upinzani wafanye nini:
  • Mjue mko vitani, kamwe adui wako hakupi silaha itakayokusaidia umshinde vita.
  • CCM kujifanya inachukia mitandao ilikuwa changa la macho. Dont take the bait.
  • Lazimisheni ujumbe wenu utangazwe kwenye redio. Ikiwezekana nendeni kwenye vituo vya redio bila kukaribishwa. Wakiwakatalia wekeni kambi hapo nje ya kituo, onyesheni dunia kuwa kweli vyombo vya habari havina uhuru Tanzania. Hamtawakwaza hizo radio station kwa sababu hawajawakaribisha.
  • Msipumbazwe na mashabiki wa instargram na twiter, watanzania wapiga kura ni karibia millioni 20. Hao wapiga kura wengi wao chombo pekee cha habari ni radio.
  • Wanaokimbiza magari au kukaa barabarani wakati wa kampeing ni wachache sana kulinganisha na idadi ya watu wanaosikia ujumbe wa kwenye radio. Msilewe na idadi ya watu wanaokuja kushangaa helicopter na Lisu mkizani mnashinda. Watanzania wanapenda kushangaa na pia wanapenda kusikiliza radio kwenye bar, magari, wakilima wakila chakula nakadhalika.
Mwisho ningependa kusema hii mada haikejeli michango mizuri iliyofanywa na wanaharakati kwenye mitandao na wanajamii kwa ujumla. Tuiliona jinsi ambavyo baraza la mawaziri lilivunjwa wakati wa Kikwete na jinsi ambavyo hoja nyingi nzito zinaanzia kwenye mitandao. Lakini tukubali ukweli, na ccm(au wengine mnawaita mataga) wanajua na wameshawaambia ukweli. Hamtashinda uchaguzi wa uraisi kwenye mitandao.

Mungu ibariki tanzania.
 
Naunga mkono hoja
 
Ukilazimisha kwenda kwenye vituo vya radio, tunavipiga adhabu hahaha. Nawashauri wapige kampeni za nyumba kwa nyumba kama wataweza.
 
Wataweza wapi wakati viongozi wote wanaishi Dar.ccm ndiyo kawekeza huko anawachora na kusema; hiiiiiiiiiiiiiiiiiioio.ccm mwaka huu kampeni zao ni kitanda kwa kitanda, mafuriko siyo mtaji walah
 
Tatizo kuu ni kwamba ukienda kwenye kituo cha Radio bila kualikwa, moja kwa moja ni kitendo cha kutaka kuteka hiko kituo cha radio na tafsiri yake ni unataka kufanya mapinduzi ya serikali...msala ni mkubwa zaidi hapo
 
Mleta hoja kwanza nikupongeze kwa uwezo mkubwa wa uandishi na hoja zenye mashiko. Naona umeonyesha kuwa ccm imetoa kafara huku kwenye mitandao na kuamua kujikita kwenye redio. Kwa kiwango fulani una hoja. Ila kitu ambacho hujakiangalia vizuri ni nyakati. Ccm kama ccm sio chama cha kizazi hiki, bali ni chama cha kizazi kilichopita. Huku mitandaoni sio kwamba ccm wametoa kafara hapana, ila watumiaji wengi wa mitandaoni ni vijana wa kizazi hiki, na watu wenye uelewa wa mambo. Hivyo ccm inajikuta kasi ya huku hakiwezi.

Kwanini sioni kama redio ni kitu kinachoweza kuwabeba sana ccm, ni ukweli usiopingika kuwa vijana ndio wengi hapa nchini, na vijana kama vijana ni wapenzi wa muziki zaidi, kuliko hizo propaganda za ccm. Labda uniambie kuwa wazee ndio wengi huko vijijini. Ccm kama chama hakiwavutii vijana, bali kinawashurutisha vijana kukifuata. Kizazi cha sasa ni kizazi cha simu, na sio kizazi cha redio. Na sehemu kubwa ya redio zinazopatikana kwenye simu ni zile zinazopiga zaidi muziki, pia vijana hutumia memory card kusikiliza zaidi muziki, kuliko habari, au sera za vyama.

Vyama vya upinzani vingi ni vyama vya kizazi cha sasa, hivyo vinatamba sana mitandaoni, na vinapendwa automatically kutokana na suala la nyakati. Ni nadra sana kijana wa sasa asikilize mziki wenye maadili wa Ottu jazz, aache kusikiliza muziki wenye maneno ya kihuni ya kizazi chake. Kwa sababu ya kizazi hiki kuikataa ccm, ndio maana unaona ccm ikiendesha chaguzi za kikatili, kinyama, kihalifu na kihayani, mfano chaguzi zote za marudio, na uchaguzi wa SM. Kama hizo redio zingekuwa na faida kwao usingeona uhuni uliotokea, na iwapo ccm ingekubali kushiriki bila siasa chafu, ingeshinda ila kwa margin ndogo sana.
 
Kuna vijana wanaosuport ccm kweli kweli. Hawa wameamini yale wanayosikia kwenye radio. Ni kosa kubwa kudharau nguvu ya ccm.
 
Wakati wa vita wakuu wa majeshi hufanya maamuzi magumu mojawapo likiwa ni kutoa kafara maeneo au kikosi fulani ili iwasaidie kushinda vita. Kwa kifupi wanaachia washindwe mapambano wakijua watashinda vita.

Mfano wa kihistoria:
  • Vita kuu ya pili ya dunia, Warusi waliwaruhusu wajerumani( Nazi) wawasukume nyuma kilometer 2800 mpaka wakakaribia Moscow. Kiongozi wa jeshi wa wajerumani Bock alidhani Urusi wanakaribia kushindwa akawa anaendelea kuwafauta. Akasahau baridi ya Urusi ilivyo kali. Hiyo baridi ikazuia wao kupata vifaa na mahitaji muhimu ya kivita na wakawa wamekwama (hawaendi mbele na hawezi rudi nyuma kwa amri ya hitler). Mwisho wake wanajeshi 780,000 wa kijerumani walikufa sawa na 23% ya jeshi lilovamia Urusi. Warusi walitumia ujanja huu pia pale walipovamia na Napolean miaka ya 1814.
  • Kwa warusi Stalingard ilikuwa ndo mstari mwekundu wao kwamba hawakuwa tayari kutoa kafara hapo na walipoteza mamilioni ya warusi kulinda mji mmoja.
Kwenye uchaguzi huu CCM imeamua kutoa kafara ya mawasiliano ya mitandao. Wako tayari wapinzani wapige kelele kwenye twiter, youtube jamii forum nakadhalika lakini wabaki huko huko kwenye mitandao. Ushahidi ni huu:
  • Sheria ya mitandao na kushitaki waasisi wa jamii forum ni changa la macho. Hii imewapumbaza wapizani kuwa CCM inachukia mitandao ukweli ni kwamba wanapenda muendelee na kelele za mitandao kwa sababu haiwaumizi. Mfano mzuri jamii forum, ni watu wangapi wanasoma mada moja? Ukipata jibu linganisha na idadi ya wapiga kura Tanzania. Na wameshasema, kikombe cha sukari hakibadili ladha ya bahari.
  • CCM wameshachagua mstari mwekundu wao, CCM kamwe hawataruhusu wapizani watumie redio kufikisha ujumbe wao. Vitisho walivyopewa Clouds FM na barua ya Fadio Free Africa inaonyesha wapi haswa CCM wanaogopa wapinzani wasiongee. Clouds walifuatwa na silaha!!
  • Mnaona jinsi ambavyo kwa sasa habari za upinzani haziwekwi kwenye radio, magazeti na luninga. CCM wanajua nini wanafanya
  • Sheria ya kuweka marekebeshi ya vyombo vya habari vya kimataifa siyo bahati mbaya. Wanaogopa ujumbe usiingie kwenye radio.
Ni kwanini Radio ndo mstari mwekundu:
  • Radio ni chombo chenye nguvu sana. Wahutu walitumia radio kutengeneza chuki dhidi ya watusi. Waliwaita watusi mende, yaliyotokea tunayajua.
  • Wajerumani pia walitumia redio propaganda kuwanyanyasa wayahudi. Matokeo yake wayahudi millioni 6 wakauwawa. Somo kuu la vita kuu ya pili ya dunia ni nguvu ya redio. Wayahudi walijifunza na wamehakikisha wameshikilia vyombo vya habari vya mataifa makubwa duniani (CNN, FoX news etc).
  • Radio inamfikia karibia kila mpiga kura, kwa haraka.
Sasa basi upinzani wafanye nini:
  • Mjue mko vitani, kamwe adui wako hakupi silaha itakayokusaidia umshinde vita.
  • CCM kujifanya inachukia mitandao ilikuwa changa la macho. Dont take the bait.
  • Lazimisheni ujumbe wenu utangazwe kwenye redio. Ikiwezekana nendeni kwenye vituo vya redio bila kukaribishwa. Wakiwakatalia wekeni kambi hapo nje ya kituo, onyesheni dunia kuwa kweli vyombo vya habari havina uhuru Tanzania. Hamtawakwaza hizo radio station kwa sababu hawajawakaribisha.
  • Msipumbazwe na mashabiki wa instargram na twiter, watanzania wapiga kura ni karibia millioni 20. Hao wapiga kura wengi wao chombo pekee cha habari ni radio.
  • Wanaokimbiza magari au kukaa barabarani wakati wa kampeing ni wachache sana kulinganisha na idadi ya watu wanaosikia ujumbe wa kwenye radio. Msilewe na idadi ya watu wanaokuja kushangaa helicopter na Lisu mkizani mnashinda. Watanzania wanapenda kushangaa na pia wanapenda kusikiliza radio kwenye bar, magari, wakilima wakila chakula nakadhalika.
Mwisho ningependa kusema hii mada haikejeli michango mizuri iliyofanywa na wanaharakati kwenye mitandao na wanajamii kwa ujumla. Tuiliona jinsi ambavyo baraza la mawaziri lilivunjwa wakati wa Kikwete na jinsi ambavyo hoja nyingi nzito zinaanzia kwenye mitandao. Lakini tukubali ukweli, na ccm(au wengine mnawaita mataga) wanajua na wameshawaambia ukweli. Hamtashinda uchaguzi wa uraisi kwenye mitandao.

Mungu ibariki tanzania.
Tutaumiza vichwa tutapata plan B ya kufiksha taarifa, binadamu ana akili sana ila ni mvivu wa kufikiri
 
Binafsi najaribu kutafuta hoja hapa mitandaoni unaiishia kukumbana na matusi.

Wapinzani wamejikita kwenye matusi badala ya hoja .
 
Kuna vijana wanaosuport ccm kweli kweli. Hawa wameamini yale wanayosikia kwenye radio. Ni kosa kubwa kudharau nguvu ya ccm.

Sidharau, ila nguvu halisi ya ccm iko kwenye madaraka ya mwenyekiti wake kwa kofia ya urais. Nje ya madaraka ya urais, ccm ni chama cha kawaida sana.
 
Zero IQ
 
Binafsi najaribu kutafuta hoja hapa mitandaoni unaiishia kukumbana na matusi.

Wapinzani wamejikita kwenye matusi badala ya hoja .
Ukweli unauma ndo maana clouds leo wamefungiwa. Clouds wamesahau jinsi ya kupiga vigelegele.

Sent from my SM-G935W8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom