Kwenye Wasifu wa Rais Samia sijawahi kukutana na taarifa za wazazi wake. Je, ni watu wa aina gani? Nao walijihusisha na Siasa?

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu salam,

Nimekuwa tu interested na hili baada ya kufanya maongezi na jamaa yangu fulani ndio ikaclick kuwa hili ni kweli, kwenye wasifu na historia ya Rais Samia inaanza alizaliwa wapi, aliposoma na alikopita mpaka kufikia Rais lakini siyo nyuma ya hapo kama ilivyokuwa kwa viongozi wengine kuanzia Nyerere.

Kupata wasifu wa Samia na taarifa nyingine zaidi soma hapa: Wasifu wa Rais Samia Suluhu Hassan

Je, Mzee Suluhu alikuwa ni mtu wa aina gani? Alikuwa ana nyadhifa fulani serikalini? Au ni mama yake ndio alikuwa na ushawishi kwenye siasa na kumfanya Rais Samia naye afuate nyayo? Influence ya Rais Samia ilitokea wapi mpaka kujiingiza kwenye siasa mpaka kufikia kwenye ngazi kumbwa kabisa ya uongozi ya Urais?

Tukipata na picha zao itapendeza pia.
 
Tafuta pesa kama unazo za kutosha mshukuru Mungu. If you can afford life that is good for you
 
Back
Top Bottom